My lovely tree... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My lovely tree...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtalingolo, Jan 24, 2012.

 1. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Niliuona mti unaokuwa kwenye shamba la jirani yangu ukiteseka kwa vumbi, upepo na wanyama pia, nikaupenda na kuuchukua, nikauhamishia shambani kwangu na kuutunza kwa uangalifu.
  Sasa nimeupoteza mwenyewe wakati nikiung'olea majani na magugu yaliokuwa yameuzunguka..
  Ooh My lovely tree... Since the day i meet you up to the day you left me, you made my heart... I stil love you...
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  sasa wewe kwanini uliachia magugu yaote hadi yawe sawa na mtio?

  Bora ungeuacha tu kwa Jirani, ulikuwa umezoea pepo na vumbi!
   
 3. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  "my lovely tree" ???

  Eh pole sana, ni mti wa matunda gani hayo?
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  We mwenzetu unanyolea panga?
  Jileti itaka huo mti kweli?

  Mmh, ushairi kazi ngumu sana.
   
 5. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Tatizo hujui kuutunza matunzo gharama asikumbie mtu. my love tree! where you ,come to me my heart is going to arrest don't leave me,spare my life
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  zinaota tena siku hizi??

   
 7. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ahsante mkuu, bt umeniuma sana ule mti, c unajua na nyasi zakifuku hzi.
   
 8. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mmh kongosho...
   
 9. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mti ukishakomaa lazima utakufa, iulichelewa kuungo'oa ungewahi kidogo...
   
Loading...