mshana org
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 2,091
- 620
Haya sasa,mambo yameanza...
naam kabanga
mwenzio hajambo....?
Mwenye muungwana chake!
Haya sasa ntu na ntu yake,
mimi sijambo.....mzima wa afya sijui mwenzio
mimi sijambo.....
hajambo shemeji?
sijambo mkiva....
ah ... sikuwa nimemuelewa....! eti mkiva unasemaje vile....!
binamu niko poa... hebu twende chemba tugeane pole....!Binamu uko salama lakin