mwanangu aliwahi kuugua alikuwa na miaka miwili, nunu ukwaju sokoni loweka afu kunywa juice yake itumie kama maji ya kunywa make huo ugonjwa uko tumboni sa utapo kunywa hiyo juice ukikojoa ndo ugonjwa unavyoisha.
au kuna miti flan hivi iko kama miwa lakini membamba inaota sehem za mito maranyingi mi inaijua kwa jina la mabingobingo chemsha afu uyaoge maji yake, ndo dawa nlitumia kwa mwanangu hata wiki haikuisha namabaka yote yalipotea.
Yani vinawasha, halafu havina adabu, vinatokea sehemu yeyote.Vinawashaje!
Don Mangi pole sana Mkuu . Ni kama vile nimekuona hapo Mayai Karibu na Twiga ukihangaika na hiyo hali yako. Vipi ulienda kupakia mzigo Namungo nini?
mwanangu aliwahi kuugua alikuwa na miaka miwili, nunu ukwaju sokoni loweka afu kunywa juice yake itumie kama maji ya kunywa make huo ugonjwa uko tumboni sa utapo kunywa hiyo juice ukikojoa ndo ugonjwa unavyoisha.
au kuna miti flan hivi iko kama miwa lakini membamba inaota sehem za mito maranyingi mi inaijua kwa jina la mabingobingo chemsha afu uyaoge maji yake, ndo dawa nlitumia kwa mwanangu hata wiki haikuisha namabaka yote yalipotea.
He he he he, visije vikakueleta byuti spot kwenye teh teh teh
Mbona ni kama vile viko mbioni. . .tehe tehe. . .vinakuja kwa kasi kweli, yani hapa naonea huruma uso wangu, my chocolate color, brown eyes, pua yangu ndogo lakini imeumuka kama ngumi now.