Siku hizi hata miaka tisa wanazaa mkuu sijui shida niniNimecheka sana mkuu! kuna yule mtoto wa miaka 12 ana mtoto hah maisha yanakimbia sana
Na huyu mbwa umuite jina la mtoto! Ili wakiita tu anatokea mbwa!Inabidi ufuge mbwa mkali. Yaani Vijana hawachelewi kutafuna na chumvi
Ha haNa huyu mbwa umuite jina la mtoto! Ili wakiita tu anatokea mbwa!