mimi niliona mapema, anajibu za kidhungu tu, nikahisi hajui kiswahili....
labda tumwombe kakako/mumeo? The Boss aje akusaidie kutafsitri, maana naona yeye kimetoka
Hahahaha, tena ngoja nimake hii clear maana si wewe tu hata mlongo wako snowhite anachanganyikiwa na uhusiano wangu na the big boss in the big bass ( The Boss ); huyu ni kaka, lakini he is just too good and 'you know what l mean' to be just kaka; maana tulikuwa tunajikuta tunaoneana wivu. so baada ya kujitafakari na kwa msaada wa kaka mwingine KIKUNGU tukakubaliana tuende mbele zaidi. So kwa kinyamwezi we are very right, maana wanasema kaka yako ni mume wa maisha.
So no matter where l go or where he goes we can always find each other; so ni sawa na open marriage na ndio maana Kikungu alisisitiza niwe mkewe wa wakati wa raha tu, shida zikianza naweza ondoka na kwenda kungine; na yeye akiniona sio sexy any more anaweza tafuta kidada kingine lakini we can always come back to each other.
So this is the arrangement!
A very good arrangement lol
ha haa, nimeipenda hiyo arrangement yenu rafiki......Hahahaha, tena ngoja nimake hii clear maana si wewe tu hata mlongo wako snowhite anachanganyikiwa na uhusiano wangu na the big boss in the big bass ( The Boss ); huyu ni kaka, lakini he is just too good and 'you know what l mean' to be just kaka; maana tulikuwa tunajikuta tunaoneana wivu. so baada ya kujitafakari na kwa msaada wa kaka mwingine KIKUNGU tukakubaliana tuende mbele zaidi. So kwa kinyamwezi we are very right, maana wanasema kaka yako ni mume wa maisha.
So no matter where l go or where he goes we can always find each other; so ni sawa na open marriage na ndio maana Kikungu alisisitiza niwe mkewe wa wakati wa raha tu, shida zikianza naweza ondoka na kwenda kungine; na yeye akiniona sio sexy any more anaweza tafuta kidada kingine lakini we can always come back to each other.
So this is the arrangement!
hata mimi nimeipenda saaanaA very good arrangement lol
hahahah, nitabadilisha nianze kukubananisha ohooo! LOL
Mambo niaje lakini?
nimeona mwenzangu....hahaha hopefully and gugu will learn something too. (nimejitahidi kizungu alichonifundisha kiddo baada ya kutoka english medium school) LOL
hata mimi nimeipenda saaana
Its ma house the terrible thing I knw he will come again
wewe, kuruka na vitoto kwahitaji akili......ha ha haa nilimruhusu ajaribu vitoto vikamshinda
akarudi kwa big daddy lol
nimeona mwenzangu....
kumbe man in the house????? msalimu sana jamani.......
ha haa mi mzima
unajua hata uende wapi utarudi tu
there is nothing like home lol
ha haaaaa, lol! Nitafurahi sana kumsikia my dear....Nitampa salamu, yaani it is so funny the way tunavyoishi now me and him and no househelp; so nimepangiwa glass ninayonyea maji asubuhi ni hiyo hiyo mpaka usiku ili kusiwe na vyombo vingi vya kuosha. it is real fun, nitakupigia later uongee naye!
Na ndicho kitu anachofurahia zaidi; anasema "mama nilikuwa natamani nikuambie siku nyingi tuwe wenyewe tu lakini sikuwa na uhakika utaichukuliaje?"ha haaaaa, lol! Nitafurahi sana kumsikia my dear....
nimeipenda hiyo big brother yenu, lol! so sweet, inapendeza sometimes kutokuwa na crowd, attention inakuwa kwa each other tu.
ha haaa, hiyo inapendeza sana sana, na naona wao pia wanaenjoy kuwa na mama tu.Na ndicho kitu anachofurahia zaidi; anasema "mama nilikuwa natamani nikuambie siku nyingi tuwe wenyewe tu lakini sikuwa na uhakika utaichukuliaje?"
Kuna cousin wake atatujoin in a couple of days so it will be to guys and only me; wataninyanyasaje?