miminimama
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 703
- 1,840
Kabla ya yote tutajie huyo mdaa hata kwa code tu.
Wataalam wa code cracker watafanya kazi.
Wataalam wa code cracker watafanya kazi.
Humu JF huwa sifikirii kuvuka muto, na sijawahi kuwa na ugomvi na mambo hivyo sioni sababu ya kuwatukana mamba. Mito mingi inamafuriko kwa sasa hivyo nimekata safari zinazohusisha kuvuka mito, nilijiweka self quarantine.
Kabla ya yote tutajie huyo mdaa hata kwa code tu.
Wataalam wa code cracker watafanya kazi.
Wish you would have never put your time intoSoooooo touching. Ume summarize the whole kwa hio Poem.
"My pain may be the reason for somebody's laugh,but my laugh must never be the reason for somebody's pain"
Charlie Chaplin
Wish you would have never put your time into
Those people who never tried to give it to you back.../
Wish you would have never put your heart into a women that, Will break it than allow it just to have a second chance.../
Wish you would have let 'em see what you was really dealing
It's Scars
Usilipize kisasi. Ni kawaida sana siku hizi.I swear to The Almighty, my heart was as pure as morning snow, I sang all hyms believing that she was sent from high above. Wish, wish, wish I could know.
The voice of revenge is keeping on calling me for more than a week now.
"My pain may be the reason for somebody's laugh,but my laugh must never be the reason for somebody's pain"
Charlie Chaplin
Usilipize kisasi. Ni kawaida sana siku hizi.
Mahusiano ya kweli ni nadra sana. Kinachobaki ni Either mwanaume a-hit and run au mwanamke akulie hela.
Mshukuru Mungu that you learned your lesson hata kama ni in hard way ila somo limekuingia. Hata hivo dawa chungu ndio inatibu Elisha.
Let her go, focus kwenye vitu vingine.
Inaonesha umeumia mno maana ilikuwa kila nikikuta comment yako ni malalamiko tu kwa huyo dada. Pole ndio ukubwa, ila utakuwa umejifunza kutokumuamini mtu kwa mapema no matter ni wa mtandaoni au huko duniani.
Achana na visasi, karma ipo na itafanya kazi yake
Ulivyomalizia tu nimepata kicheko 😆😆😆 Elisha amekomeshwa jamani, yan kaka analalamika mpaka nikamuonea huruma.Yeye ni mume wa mtu anaazaje kumpenda mke wa mtu tena mama wa watoto? Au alijua akimpa hela atamuacha mumewe awe nae?
Elisha uje huku tutajie id wambea tumsuuuze huyu ndo kisababishi nikose mume humu.
Sina uhakika maana huyu Joanah wanguu hana hizo habari sisi tunapendana haswaa na tutafika mbali am sure
Ulikosaje mume huyo mume? [emoji16][emoji16][emoji16]Yeye ni mume wa mtu anaazaje kumpenda mke wa mtu tena mama wa watoto? Au alijua akimpa hela atamuacha mumewe awe nae?
Elisha uje huku tutajie id wambea tumsuuuze huyu ndo kisababishi nikose mume humu.