The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,179
- 14,053
- Thread starter
- #21
“Mwovu hukimbia pasipo mtu kumfukuza; bali mwenye haki ana ujasiri kama simba.” — Mithali 28:1Maisha yanikimbize halafu na mazoezi yanikimbize hapana kwakweli...😅
“Mwovu hukimbia pasipo mtu kumfukuza; bali mwenye haki ana ujasiri kama simba.” — Mithali 28:1
Sasa 10k sio ndoto Tena 💯
New Balance huwa naagizaUnatumia viatu gani? Unanunua wapi?
New Balance huwa naagiza
Old oneRunning shoes ziko expensive sana 🤣, na hzi za mtumba ni risk kupata Injury
Mzigo mpya umetua
View attachment 3619035