ndo anavyojitambulisha kwetu.
mwenzio mwili wangu ulikuwa zulfa hali nikaupeka gereji,ndo nimepata nafuu leo,mambo?Swt poteto, hanibary cake, fest kandideti wa moyo, u hali gani?
mwenzio mwili wangu ulikuwa zulfa hali nikaupeka gereji,ndo nimepata nafuu leo,mambo?
Kongosho habari za jumapili?....... nakumiss ujue si unajua mi na wewe ni mate na ulimi full time hatuachani
mwaka huu utashinda sana airport ukisubiri meli itie nanga!Kumbe hujafa?
mi nna "@kongosho.....we una nini,kila kukicha unapigwa kibuti.Hujanizidi lolote wewe.