My imagination: Kongosho & Zombie

....kuliko kumfuga nani?
Malizia Babu DC, mimi ni Mnyamwezi sio mswahili bwana.


Naona sasa wewe unataka kuniuzia kesi.....

Mwacheni Kongosho atese tese mara za mwisho mwisho....

Kwani hawakusema kuwa kutesa ni kwa zamu??

Babu DC!!
 
Ufafanuzi tafadhali


Sina la kuongeza mkuuu.....

Mie najua kuwa dume la mtu halitoi maziwa kama ndama, ila linaweza kukuzawadia mateke....

Halafu mie na Kongosho tunaheshimiana sana ingawa haachi kunichokoza bila sababu...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Naona sasa wewe unataka kuniuzia kesi.....

Mwacheni Kongosho atese tese mara za mwisho mwisho....

Kwani hawakusema kuwa kutesa ni kwa zamu??

Babu DC!!

Hivi na mimi uzee unanikamata?
Mbona naona kama mwali keshaingia mkoleni hana ujanja, au........!
 
Miwivu tu babu DC

Bora nifuge zombie litanipa nanii nanii


Mimi niwe na wivu na avatar au??

Mie roho yangu na uzima wangu uko kwa mtu mmoja tu.....Anaitwa Bibi DC....ambaye unaweza kupata habari zake zaidi kutoka kwa Smile....

Huyo wivu kwake ni karibia 295%

Hakuna mwingine katika dunia hii....kalaghabaho na Zombie wako..lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…