Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,502
ya tatu swtlo
Uwe unabeba misale bwana; ni ya nne.
ya tatu swtlo
Uwe unabeba misale bwana; ni ya nne.
umekothea.....he anao wanne ! Wewe nawe ni women tu ! Hujajua tu mwenzio ananangalia anayemfaa na kuna kina dalili hivi karibuni utakuwa wa kwanza kutoka kwenye shidano hilo!i am convinced that my husband having affairs with three different women. I got this information from friends and relatives. I cannot prove my fears as he plays the perfect husband at home, but has of late denied me conjugal rights. He also walks out of the house to receive phone calls, comes home late, and even goes to the bathroom with his mobile phone. How can i prove him suspected extra-marital affair(s) and possible adultery?
Huyu nimegundua huwa ana kopi na kpesti from the original somewhere, ye kila siku humu ni misala na mume wake, last week ilikuwa pango la nyumba, leo jamaa anachapa mademu watatu zaidi, nahisi huyu kaolewa na shetani, si bure...