The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
sioni kwanini mdada aendelee kuwa na huyo mtu jamani, kweli watu tunatofautiana sana, mie binadamu mwenzangu hanipotezei malengo yangu ya maisha kabisa.
Hapo ndio nimechoka kabisa hata ushauri ukija kichwani ghafla unapotea hii kitu ngumu aiseewe dnt have a kid yet. & we ar not a yr old in marriage yet!!!
yaani jamani ndoa haijavunjwa hata bikira vizuri waanze kupeleka matatizo kwa wazazi? amkomalie kwanza mwenyewe wazazi ni baada ya kuona hakuna mabadiliko.
Naona dada wa watu amemkomalia hadi kabwaga manyanga ila naona angeipeleka KANISANI kwanza
Good day all,
Nimejaribu kuwa mwanamke mwema kwa mme wangu , but on every little row we have, he leaves home for 5 days without coming back, when i call he doesnt pik up,neither does he calls. i dont knw whr he sleeps nor eats. & he coms bk later on,no apology, no explanations,even wen i try to probe, he says he doesnt want to talk abt it. we dnt have a kid yet. & we ar not a yr old in marriage yet!!! pls wives, wot have i done wrg? dont u guys also have rows , i feel like gettin away from him, i cant trust him anymore.i think he doesnt lov me again. pls your advise...
Not me ..huyu mwanamama anaomba msaada wenu kimawazo
Finest, ndoa mbichi kiac hiki muanze kupelekana huku na kule ni kuzidi kupunguziana cku za kuishi tu, kama wanandoa mkishindwa kuweka mambo mezani wenyewe, hao wajao kuwasaidia kuweka sawa pia hawataweza, muanze kukubali mabadiliko wenyewe kwanza.

NB;Not me ..huyu mwanamama anaomba msaada wenu kimawazo
Running 4rm da problem is not a solution!If u can jus try 2 insit him and talk 2 him politely so dat u can solve the problem b4 its 2 late. If u really love him thn u shld fight 4 his luv and not 2 give up easily!
Kwa maelezo ya huyo dada anasema akitaka kuongea na jamaa, "even wen i try to probe, he says he doesnt want to talk abt it." jamaa hataki sasa Nyamayao mwanaume kama huyu si anafaa kuitiwa kikao kama nyie wawili mmoja wenu hataki kujadili tatizo ni nini, kwa maana hiyo ni kuwaunamuacha mwenzio njia panda asijue la kufanya mimi naona ni bora either eti hao waliokuwa wasimamizi wa ndoa yao aongee nao sababu itaenda hivi hadi lini vitu vingine hauna jinsi inabidi iwe hivyo
Finest, jamaa hataki kuyaongea wa sababu huyo dada hajamfanya atake kuyaongea. Anakaa ana beg beg wakati funza wanatambaa miguu yote. Anatakiwa am-squeeze hadi aje kwenye meza ya majadiliano vinginveyo anasubiri nini? Mume akiondoka naye aishie zake aone kitakuwa nini. Kama mume atauchuna basi ahesabu kuwa ndoa hiyo haikuwe riziki!
Finest, ndoa mbichi kiac hiki muanze kupelekana huku na kule ni kuzidi kupunguziana cku za kuishi tu, kama wanandoa mkishindwa kuweka mambo mezani wenyewe, hao wajao kuwasaidia kuweka sawa pia hawataweza, muanze kukubali mabadiliko wenyewe kwanza.
Natofautiana sana na wewe. Hapo hakuna cha kuongea politely...Hawa wanatakiwa kukaa mezani kila mtu na bukta yake (ikibidi gloves mikononi) na ku-redefine terms. Inawezekana hawakuwekana sawa kabla ya kuanza ndoa. Walidhani ndoa ni biashara ya ndombolo tu.
Halafu huyu dada ana bahati sana. Mambo yamekuwa wazi katika muda mfupi na hana mtoto. Ningeshauri asizae hata kwa mabomu, mizinga na vifaru hadi kila kitu kimekaa vizuri. Akizubaa hapa imekula kwake!
Hapo ndio nimechoka kabisa hata ushauri ukija kichwani ghafla unapotea hii kitu ngumu aisee
Hii ni kweli kabisa rafiki. kwa kweli I hate kupeleka mambo ya ndoa yangu kwa yeyote yule (padre, mama, mama mkwe, rafiki yangu, rafiki wa mume etc.) huyo ni mume wangu, so nitaongea naye mwenyewe. kama hanisikilizi na hataki kubadilika, then there is nothing that will change him.
tena huyo kama anasema hataki kuliongelea hilo, fine............. namwacha awe huru, na mimi na-take time yangu
Finest, jamaa hataki kuyaongea wa sababu huyo dada hajamfanya atake kuyaongea. Anakaa ana beg beg wakati funza wanatambaa miguu yote. Anatakiwa am-squeeze hadi aje kwenye meza ya majadiliano vinginveyo anasubiri nini? Mume akiondoka naye aishie zake aone kitakuwa nini. Kama mume atauchuna basi ahesabu kuwa ndoa hiyo haikuwe riziki!
mmh hapo kuna kitu jamani haiwezekani ndoa haina hata mwaka wala mtoto mambo yaende hivyo coz me huwa najua watu wanachokana baada ya miaka kadhaa au kama kuna kitu kimetokea,maskini nampa pole ameanzakuona machungu ya ndoa mapema sana,jamani naogopa hiyo kitu mimi.duh
Kwa maelezo ya huyo dada anasema akitaka kuongea na jamaa, "even wen i try to probe, he says he doesnt want to talk abt it." jamaa hataki sasa Nyamayao mwanaume kama huyu si anafaa kuitiwa kikao kama nyie wawili mmoja wenu hataki kujadili tatizo ni nini, kwa maana hiyo ni kuwa unamuacha mwenzio njia panda asijue la kufanya mimi naona ni bora either awashirikishe hao waliokuwa wasimamizi wa ndoa yao aongee nao sababu itaenda hivi hadi lini vitu vingine hauna jinsi inabidi iwe hivyo
Mtu mwenya akili na utashi utapelekaje mambo yako kwa watu wengine?
Labda niulize kidogo..Hivi watu wote tunaingia kwenye ndoa tukitegemea kuwa kila kitu kitaenda vizuri (100%) hadi huko kufa na kuzikana?
Kama si hivyo huyo dada ajue ndoa yake inakaribia tamati na afanye last attempt kuokoa jahazi.
ha ha ha!
festiledi hebu ongea vizuri na bidada huyo!....mwambie ''amechakachua'' scenario ake!ni kama HAIJADILIKI VILE!ujue hata kule musoma pia hawaishi hivo
y
Mie nikimtizama huyu Binti sioni tatizo kweli haya mambo ya ndani huwezi jua ila swali analojiuliza sasa kama ndoa ni changa mambo yamekuwa hivi watafika katika safari yao?