My Husband Is Acting Funny ..msaada pls

Ofkoz unatizama na mtu wako ......ndio maana nikasema kama hapigi ila kama vipi ah............ jihami. Jamani this issue is of more emotional to me so I cant comment more.

Hivi :ban::ban:yako bado eheeee???
 

hahahahaha MJ1 umenichekesha sana hapo jamaa lazima ageuke mbogo ,unajua mkuki kwa Nguluwe ..?
 
hahahahaha MJ1 umenichekesha sana hapo jamaa lazima ageuke mbogo ,unajua mkuki kwa Nguluwe ..?

FL1 kama unasema sasa hivi anapigwa kiasi hicho akifanya hivi si ndio anajitengenezea jeneza lake mapema kabisa
 

The wrong thing u'v done (if any) can best be explained by himself. However, some facts need tobe exposed: how does he earn his living?(self employee?,salaried job?) au wewe ni suga mammy umemfuga?. During his absence do u check wether he goes to his working place?. Kama haendi kwa job basi jua ako na s/mummy mwingine......
 
In a world of uncertainty, you don't have to keep hold of things that doesn't determine the path of your life.

Who doesnt need HAPPINESS?

My advice is: go and seek advice from your elders and even religious, if things wont go right, then grab your way and leave for good.

You'll survive and finds someone on your way who'll make you happy and get what you deserve as a woman, a phenomenal woman.
 
ooops....i may be late to comment but for the one concerned about this, it won't be late i think. Check with me through inbox email.....i can help, advise and i believe it will work...gime ur phone number through inbox, i will call u and arrange how we can meet and discuss about ur issue.Thanks and very sorry for this.
 
Telling you the truth, there is a problem there big problem. Huyo inawezekana katekwa nafsi, kuna wataalamu huko nje wakikutana tu na waume za watu lazima waweke mavituz kama shuntama na mengineyo. Cha muhimu mdogo wangu piga goti, lazima una imani ya dini yeyote hebu mwambie MUNGU aingilie kati, huyo hata kupigana haitasaidia kuna issue ya kiroho zaidi ya kawaida. Pole sana ila mgoti tu ndo yankuwa solution kwako!! hizo nguvu anazozipata za kuondoka bila kuaga huko aliko huko atarudi naye kwa magoti kukuomba msamaha.

Wakati mwingine jichanganye ujue anaenda wapi fuatilia lazima analala somewhere. Duh!! MUNGu na akutetee!! si rahisi kabsaaaaaaa
 
Revolutionist are you married??? I am scared you may want to convince her to get a replacement!! Dah!! anyway best wishes in your meeting!!
 

Kweli kabisa DC yaani me mpaka roho inaniuma huyo dada achape lapa kabisa kabla hajazaa mtu ukishazaa nae kila unapotaka kumsahau unakutana na ile taswira ya mtoto unakumbuka machungu aliyokusababishia half ukute mtoto ndio kafanana nae ndio balaa lol me sometimes huwa natamani mtoto ningempa kabisa na nimsahau nisiwaone wote ye na mwanae linakuja la uchungu wa mwana umemzaa kwa uchungu halafu mtoto mzuri ndio unashindwa kabisaaaa yaani huyo dada ana bahati sana aangalie njia mapema
 

Pana Jambo hapa si bure:evil:
 
aisee maty kama kuchapa lapa ingekuwa rahisi ivo wengi wangechapa hapa kuna mambo mengi lakini kwa sababu tunaongelea upande mmoja inakuwa ngumu kidogo halafu kama unavoelewa jamii yetu mara nyingi wababa ndo wanabeba makosa ya kina mama mwanamke akiwahi tu kukushtaki nakulalamika... pigia mstari. hapa waeza kuta jamaa aliona kitu kwa mkewe kuna viumbe hawajua kusamehe na kubeba vinyongo kila wanapotembea au kakutana na wanawake mambo mtaani huko akasema habanduki mtu au alikuwa na mchumba au mdada walipendana kabla hajaoa sasa yale maumivu anahakikisha anamkamata huyu kaka kwa nguvu yoyote ndo maana akiingia ndani pamoto anatoa visago tu mi naamini kwenye hili ukweli wote dada anaujua vizuri UNAPOKOSEWA NA MTU YOYOTE JITAFAKARI KWANZA WEWE ULICHANGIA KWA KIASI GANI KUMFIKISHA MWENZIO HAPO ALIPO NDO UTAWEZA KUTATUA TATIZO OTHERWISE UTALALAMIKA MPAKA SIKU YA KWAHERI NDUGU
 
Jamaa alikua blacmailed au alipata shinikizo flan kuingia katika hii ndoa....bidada hakuwa chaguo lake..hapa anachofanya ni kuonyesha kwamba ndoa ni zaidi ya makaratasi yaliyosainiwa mbele ya kasisi.
 
pia inawezekana dada alimuibia mwenzake na nguvu ya ziada ya kufunga ndoa alitumika sasa hapa mapenzi ya kweli yapo upande mmoja
Jamaa alikua blacmailed au alipata shinikizo flan kuingia katika hii ndoa....bidada hakuwa chaguo lake..hapa anachofanya ni kuonyesha kwamba ndoa ni zaidi ya makaratasi yaliyosainiwa mbele ya kasisi.
 

Mh! revolutionalist si utoe ushauri hapa ili watu wote waone na wajifunze sasa kupeana cm na kukutana hayo mengine tena
 

Mh! yawezekana kuna ukweli hapo maana hz ndoa wengine wanalazimishaga hata kwenda kwa waganga ili waolewe
 
I am sure mpaka sasa FL1 ameshafikishija messeji na utendaji umeanza... hiyo ndio tamu ya JF.... kumkoma nyani giladi ----
 
I am sure mpaka sasa FL1 ameshafikishija messeji na utendaji umeanza... hiyo ndio tamu ya JF.... kumkoma nyani giladi ----

Mdada kazoma komenti zote hapa Nitakuja na update Soonest
 

My Opinion, huyu Kijana hajafika kuita Mume, (Watu waharibu majina, siku hizi vijana waitwa waume), usione mtuu kavaa suruale ukfikiria ni Mume.

Uume Majukumu Bwana!!, sio kutoa sauti nyumbani ukinguruma wataka usikizwe!.

In short, Vijana kama hawa utapata kalelewa na Bibi ama Mamayake, Kalelewa kama mayai, Huyo hajafika!!!!,FirstLady Huyo mwenzio hajapata Bwana ayakimbia madogo hayo ataweza makubwa???.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…