Jamani wadau nimepata kimeo mtaani ni HTC T8788 windows phone 7 .sasa shida iliyonipa pressure ni baada ya kuitumia siku mbili ikiwa safi kabisa lakini leo asubuhi wakati wa kuiwasha nakuta inanikodolea mineno ya mwanzo htc halafu inakaa without further process ...nimejaribu kuiwasha na kuizima zaidi ya mara sita mchezo ni ule ule sasa cjui nifanyaje ...simu yenyewe bado ni mpyaaa ....ila kuna mtu kaniambia niiroote sasa sijui ndio nn ..nisaidieni wataalamu wa smart phone
.............
...............
........
Heshima kwenu.