Duu miss chagga! MO11 Hawa wabadilishie vitengo wana wizara zao

miss chagga anaonekana ni mtaalamu wa kubana matumizi
sasa kati ya miss chagga na MO11 ni wape wizara gani hawa ?

pesa akae nani sasa?Wizara ya utalii na mmoja awe makamu
nimecheka sana mkuu umewaza mbali asee
Sijaona anayetaka wizara ya kilimo afya au elimu hata mmoja
chukua wewe nakuunga mkono mimi