Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,272
Mapenzi acha tu yaitwe mapenz,,,usiombe ukapenda labda kama umetaman
kipindi nipo dogo dogo (ulikua utoto tu) nlikuaga na watu wengi wengi so mmoja akiniacha hata sifikirii but now nimejikomit
Mapenzi acha tu yaitwe mapenz,,,usiombe ukapenda labda kama umetaman
Search your heart and be true to yourself.
Some affairs are best settled by the heart.
kipindi nipo dogo dogo (ulikua utoto tu) nlikuaga na watu wengi wengi so mmoja akiniacha hata sifikirii but now nimejikomit naona upside down...so nakaribia kurudia tabia ileeeeee
Mpo wengi sasa, unataka na wenzio wasipate...
Mimi na kidhungu wapi na wapi ndugu yangu
alikuwa amechoka kusoma huyo
pia kuna yule wa ktz aliiimba nimepende nani kama sijakosea jina lake
Mpendwa, kama ni lazima tu basi Best for you ni XYZ !!Jaman who is the best man for me?
Nimechoka kudanganywa Mungu nionyeshe mwanaume mwema.
Hadi kusoma nashindwa kisa mapenzi Mungu nisaidie.
Nani aliimba
ok thanks
eeee mola niepushe na hili balaa!!
pia kuna yule wa ktz aliiimba nimepende nani kama sijakosea jina lake
hahahahaha si unajua wanawake ni wengi kuliko wanume, so ili kila mmoja
apate haki ya kuwa na mume sharti ratio iwe ME:KE=1:4
alikuwa amechoka kusoma huyo
Kuwa makini, mapenzi ukiyaendekeza sana watakufanya daraja. Matapeli ni wengi. Soma kwanza, mengine yatafuata baadaye wakati ukifika kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu.
Na sio utoe mzigo ovyo ovyo kisa upo desperate. Mwanamke anapaswa kujua hadhi yake na kuitunza.