My God help me nimpende nani

My God help me nimpende nani

Nipende mimi.....huto umizwa huto lizwa,utasahau yote machungu ya kutendwa,na nitakufanya usome sana na ufaulu sanaa...u will never walk alone nitakuwa na wewe milele kama utakubali kunipenda na kuendana na mimi njoo kwangu nikupumzishe na mizigo ya machozi kudanganywa na kulia asema bwana wa majeshi
 
dah haya bhana
 
huwezi kushindwa kusoma eti kisa tu mapenzi, wakati huyo mwanaume/mwanamke umejuana nae juzi tu. kwanza mahusiano na mtu si kitu ambacho kilikuwa planned miaka mingi huko nyuma. mara nyingi hutokea accidentally tu. wakikuzingua we we wa-skip tu kama nyimbo husizozipenda

tumetofautiana huwezi jua....nakumbuka pindi nipo form 6 kuna mkaka alichizika kisa mapenzi .wote tulikua nao shule moja darasa moja ....mkaka alifikia hatua akawa anaongea pekeake
 
Mnajiachia ovyo then mnakuja kulalamika hapa. Tulia, acha kuendekeza mapenzi, soma. Mapenzi utayakuta huko uendako. Ukiyaendekeza saivi yatakukunai kabla ya wakati.
 
Jishughulishe kuitengeneza future yako kwa ajili yako. Wacha kuwaza vitu ambavyo haviendani na wewe kwa sasa....Kila kitu kina wakati wake..wakati wako wa kufanya hayo mapenzi utafika.

Asante sana
 
Mnajiachia ovyo then mnakuja kulalamika hapa. Tulia, acha kuendekeza mapenzi, soma. Mapenzi utayakuta huko uendako. Ukiyaendekeza saivi yatakukunai kabla ya wakati.

asante sana kwa ushaur wako
 
tumetofautiana huwezi jua....nakumbuka pindi nipo form 6 kuna mkaka alichizika kisa mapenzi .wote tulikua nao shule moja darasa moja ....mkaka alifikia hatua akawa anaongea pekeake

Mapenzi acha tu yaitwe mapenz,,,usiombe ukapenda labda kama umetaman
 
Nimpende nani nimpende eee eeeh,nimpende nani nimpendee aaah
Nikuwaga mpenzi...ananizingua.........
Naogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi wasije wakanitenda............
Si unajua wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya kweli ndo balaa...wengi wajanja watoto wa mjini wamejawa utapeli sanaaa...

niimbie ule wa voice wonder
 
Yeah still mdogo but siko under eighteen,,now nipo mwaka wa mwisho chuoo nursing,,,let me concetrate in studying kweli mapenz yapo tu

mwaka wa mwisho nursing na bado hujajua umpende nani???
 
tumetofautiana huwezi jua....nakumbuka pindi nipo form 6 kuna mkaka alichizika kisa mapenzi .wote tulikua nao shule moja darasa moja ....mkaka alifikia hatua akawa anaongea pekeake

alikuwa amechoka kusoma huyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom