My girlfriend she is not proud to be with me

My girlfriend she is not proud to be with me

DUH HII JF NOMA.MUONEE HURUMA

Nimuonee huruma kivipi tena?

Kwani kumpa mtu ushauri limekuwa jambo baya?

Manake naona kuna vimtu flani flani vimekereka kwelikweli.

Vyovyote vile, kama watu tunataka kujifunza ni lazima tukosee lakini la muhimu zaidi ni lazima tukubali na tupokee constructive criticism.

USA baby [emoji631] [emoji631] [emoji631]
 
She ain't in love with you Brother don't waste ur time and energy impressing her cause you will hurt ur feelings at last
 
Ugonjwa wako katika kimombo unasumbua wengi sana hivyo nakuomba utangaze rasmi kama yule jamaa ......
 
Nimuonee huruma kivipi tena?

Kwani kumpa mtu ushauri limekuwa jambo baya?

Manake naona kuna vimtu flani flani vimekereka kwelikweli.

Vyovyote vile, kama watu tunataka kujifunza ni lazima tukosee lakini la muhimu zaidi ni lazima tukubali na tupokee constructive criticism.

USA baby [emoji631] [emoji631] [emoji631]
Hahahah duh mwenzako ana shida webukakandamiza ya lugha hahaa dah...mbavubmie af usipanic mbona relaxed tu....nadhani kama ana moyo mwepese atalia...badala ya kupewa ushauri wa alichopost ye kapewa ya lugha....ehehahaha
 
Kama unajiweza kiuchumi halafu unalilia na mwanamke mmoja asikujali/kuthamini basi uanashida au ni mgeni ktk mapenzi, kama hali yako ya kiuchumi haipo sawa basi hii ndio sababu. Mahaba ni pesa.
 
My girlfriend she is not proudly to be wit me,how can i do...,
Your advice is more important than what you think....
Thanks....
Hata ningekuwa mimi nisingekuwa proud aiseee hadi nimeona aibu.
 
.... And you had to crucify this lil' nigga!! Inaeleweka, my gelofrend is not proud of me, PROUDN'T SHE? Mengine porojo
 
Nimevutiwa na English language Noun na pronoun kutumika pamoja!
Ama kweli shule za kata zina mchango katika maendeleo ya Lugha ya Malkia
 
Nyabula nyabulaa..

Namaganda nze tombonyabonya, oweffumbe nze tonumya baby,
nandyagadde nkunanike empeta kasita ebintu tobiwanvuya
Ndimwana wa mpiisa nze banjulira ,banjulira ndi mukwata mpola
njagala kutwaleko mumawanga ge'bweru ,nkujje kukaalo nkulambuze ensi eno
 
My girlfriend she is not proudly to be wit me,how can i do...,
Your advice is more important than what you think....
Thanks....
Go back to xkul learn then u wl get da scornful in its place. I had a guy jus like u n I opt to push hm away as soon as possible coz hs mind wz da same as how he used to text me using dt queen language. Kw mvunjiko huu wa maneno mwez ungekuw mwaka kwngu.
 
Back
Top Bottom