My girlfriend she is not proud to be with me

My girlfriend she is not proud to be with me

we mwenyewe umekosea, bora hata yeye.

hii lungha ya malkia waachieni wenyewe jamani
Mi ndomana hii lugha nimewaachia wenyewe.Unaandika au kuongea unajua upo vizuri kumbe umevuruga mpaka basi
 
Nakumbuka siku ya kwanza kuombea chakula kwa kiingereza, teh! Tunajifyunza kupitia makosa.

Jitahidi, huwezi kumridhisha kwa kila kitu lakini fanya wajibu wako kama boyfriend na sio mume.
 
My girlfriend she is not proudly to be wit me,how can i do...,
Your advice is more important than what you think....
Thanks....
Mkuu labda unaongea Kiinglish ka hiki kwake au mbele za watu kwa sauti....
 
Mi ndomana hii lugha nimewaachia wenyewe.Unaandika au kuongea unajua upo vizuri kumbe umevuruga mpaka basi
Hautakiwi kuacha mama, kila lugha unaweza kujifunza, na kukosea ndio kujua. Mie siachi ng'oo maana RRONDO ashanirekebisha hadi siku hizi kachoka.
 
My girlfriend she is not proudly to be wit me,how can i do...,
Your advice is more important than what you think....
Thanks....
Unataka kuniambia hujui Kiswahili? Ungeandika basi kwa kabila lako wapo humu wangetutafsiria
 
nakushauri nxt tym andika tu kiswahili ndgu. hzi lugha za wtu tuwaachie wmyewe kama htuna uzoefu nazo.
 
pili...hyo mpnzi wko hna mapnzi ya dhti kwko. anakupenda kw dht lazima akuthamini na kujivunia kuwa nawe. kma vipi mpige kibuti akafie mbele.
 
Watanzania sijui tukoje badala ya kumkosoa/ kumfundisha mtu unamcheka na kutoa maneno ya kebehi na shombo.

Hao waliokukebehi walizaliwa wanakijua kiingereza Mkuu achana nao.

Jifunze mdogo mdogo utakijua tu.
 
Back
Top Bottom