Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,474
Sasa wewe ndio utampoteza kabisaaaa! Kwa kifupi huyu jamaa anamuaibisha demu wake na hiyo lugha ya kigeni mbele za watu kiasi demu analazimika kujifanya kama hawahusiani.umeshaweka girlfriend she inafuata nin tena hapo mkuu
she unaweka endapo hujamtaja mhusika kama kumpa mwongozo unaemfkishia ujumbe kuwa alifanya kitendo hki ni wa kike
Mf. my girlfriend is walking
she is walking
ila endelea kuthubtu ni mamb madgo tu
"we learn from simple to complex"
Mimi namshauri aache 'kukijaribu' Kiingereza mbele za kadamnasi wanapokuwa na bibie. Mbona wenzake wamesalimu amri...iwe yeye huyu anayekaa Mabibo?