My girl is better than yours

Oa huyo mwanamke kabla hata hajamaliza chuo, kabla hujapata hela/maisha mazuri.., usijekateleza ukamwacha au yeye akapitiwa na kile kinachoitwa shetani.
HUTAKAA UWE NA AMANI NA MWANAMKE MWINGINE TENA KAMA UKIMWACHIA HUYO iwe kwa wewe au yeye au kwa makosa yake.

Usijisahau saaana kuja kumsifia tu humu, ukadhani yeye siyo binadamu. jitihadi kuliimarisha penzi, vitu vipya nn, vizawadi nini....

siyo ndo umwache apaukeeeeeee
Mkuu kwa sasa najitahidi sana, nilimwacha apauke kipindi kile nilichokuwa vibaya japo aliweza kunielewa na kunivumilia, by nw hela atayopata ananitumia na kuniambia tuanze investment kwa kununua hata mashamba ya miti. Kamwe siwezi kumwacha aisee.
 
man trust me hizo sifa zote ulizozitaja hapo hazifiki hata robo ya zile za samantine wangu, binti wa kitutsi ni mzuri sana i wish niweke picha yake hapa umuone, familia zetu zinafahamiana so tumekua tukionana toka anakua, nilimkuta ni bikra akiwa na umri wa 21yrs, tupo kwenye mahusiano kwa miaka minne sasa na ananipenda sana licha ya maisha yangu ya ghetto anasema yuko tayari tuishi kwa hali yeyote, watu wamejaribu sana kutumia nguvu ya pesa ili kumrubuni hajawahi kunificha, kuna boya amekua akituma hadi dollar 5000 akiamini atampata ila yeye anasema ananipenda mimi tu, alitapa ujauzito bahati mbaya tarehe 4/4 ikaharibika ikiwa namiezi 6, sasa amesharecover na anasema yuko tayari tutafute mtoto mwingine, huwa akiniangalia i see love in her eyes, ndamkunda cyane samantine wanje!
 
Wako hivyo kabla hawajachukuwa hatamu, yaani hawajaolewa na wako kwenye boma lako kaka, subiri aingie awe mama wa nyumba baada ya miaka 3-5, halafu uje utupe feedback, twawajuwa hawa..
 
Wangu ni zaidi mkuu, hayo niliyoyaweka ni machache sana kwa miaka saba niliyoishi nae....nikisema niweke hapa yote mtasema mengine natunga lakini ndio ukweli halisi hela ya mwanamke kuiona ni ngumu sana lakini kwa huyu wangu ni tofauti sana kwani atm card yake ninayo boom lake likiingia mie ndio nampa taarifa then ataniambia tutoe hela kidogo tuanze kununua asset kama mashamba na so on.
 
Wako hivyo kabla hawajachukuwa hatamu, yaani hawajaolewa na wako kwenye boma lako kaka, subiri aingie awe mama wa nyumba baada ya miaka 3-5, halafu uje utupe feedback, twawajuwa hawa..
Nimeishi nae ghetto mwaka mmoja na nusu sijawahi jutia mkuu.
 
Back
Top Bottom