My gal wangu anataka kinyume na maumbile

Status
Not open for further replies.

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
11,053
Reaction score
15,515
nina mpenzi wangu, ambaye nimempata hivi karibuni, kama mwezi 1 umepita, j5 iliyo pita ndo ilikuwa mara ya 1 kufanya nae mapenzi. lakini cha ajabu ananilazimisha tufanye kinyume na maumbile lakini mm nikakataa, akanitishia kuto fanya mapenzi siku hiyo, lakini nika mbembeleza hadi akakubali tukafanya kawaida kwa masharti ya mara ya pili tutakapo onana, tutfanya nae kinyume. lakini mm sija dhamiria kufanya hivyo kwa sababu sipendi na ni maadili mabaya kwa wa tz, hivyo nawaomba wana #JAmii forum, mnisadie jinsi ya kum convice huyu mdada ili abadirishe mtazamo wa kufanya hivyo.....
 
Jiulize kama unaweza kuishi na mwanamke mwenye kuhitaji hiyo huduma? Kama huwezi mwambie yamekushinda...
 
watu8 acha kuchungulia njoo jibu hapa kijana ana matatizo
 
Last edited by a moderator:
nina mpenzi wangu, ambaye nimempata hivi karibuni, kama mwezi 1 umepita, j5 iliyo pita ndo ilikuwa mara ya 1 kufanya nae mapenzi. lakini cha ajabu ananilazimisha tufanye kinyume na maumbile lakini mm nikakataa, akanitishia kuto fanya mapenzi siku hiyo, lakini nika mbembeleza hadi akakubali tukafanya kawaida kwa masharti ya mara ya pili tutakapo onana, tutfanya nae kinyume. lakini mm sija dhamiria kufanya hivyo kwa sababu sipendi na ni maadili mabaya kwa wa tz, hivyo nawaomba wana #JAmii forum, mnisadie jinsi ya kum convice huyu mdada ili abadirishe mtazamo wa kufanya hivyo.....

Hako ndio kamchezo kake!!
 
wewe acha ujinga,
nowdays kila mtu anatumia 0713,

ukimyima hiyo huduma atampa mwingine amsugue kwasababu ameshazoea mchezo huo.

mtoboe spika usiogope.
 
Sikiliza sauti itokayo ndani ya roho yako inasemaje kuhusiana na huyo mwenza wako. Usikimbilie kumuacha, yawezekana ukawa mkombozi kwake na aka acha hiyo tabia.
 
Daaa...yani wewe Story yako kama mimi tu....tena mimi nilichomekewa kwa nyuma wakati nilipomwambia ajichomekee mwenyewe. Badae nikagundua iliichomeka kwenye kabang. Basi lile tangazo hua linanikumbusha mbali sana...i mean lile la airtel

"ukizubaa tu-ushakatwa...si unaonaaa"
 
nina mpenzi wangu, ambaye nimempata hivi karibuni, kama mwezi 1 umepita, j5 iliyo pita ndo ilikuwa mara ya 1 kufanya nae mapenzi. lakini cha ajabu ananilazimisha tufanye kinyume na maumbile lakini mm nikakataa, akanitishia kuto fanya mapenzi siku hiyo, lakini nika mbembeleza hadi akakubali tukafanya kawaida kwa masharti ya mara ya pili tutakapo onana, tutfanya nae kinyume. lakini mm sija dhamiria kufanya hivyo kwa sababu sipendi na ni maadili mabaya kwa wa tz, hivyo nawaomba wana #JAmii forum, mnisadie jinsi ya kum convice huyu mdada ili abadirishe mtazamo wa kufanya hivyo.....

Hayatuhusu. This is your private business.
 
Keshaharibiwa wewe hyo na midume yake achia ngazi!!
 
nina mpenzi wangu, ambaye nimempata hivi karibuni, kama mwezi 1 umepita, j5 iliyo pita ndo ilikuwa mara ya 1 kufanya nae mapenzi. lakini cha ajabu ananilazimisha tufanye kinyume na maumbile lakini mm nikakataa, akanitishia kuto fanya mapenzi siku hiyo, lakini nika mbembeleza hadi akakubali tukafanya kawaida kwa masharti ya mara ya pili tutakapo onana, tutfanya nae kinyume. lakini mm sija dhamiria kufanya hivyo kwa sababu sipendi na ni maadili mabaya kwa wa tz, hivyo nawaomba wana #JAmii forum, mnisadie jinsi ya kum convice huyu mdada ili abadirishe mtazamo wa kufanya hivyo.....

Mkuu ikimbie laana ukingali na akili yako, hata wanyama wa jinsia moja hawapandani ilhali tunajinasibu kuwa sisi ndo viumbe wenye akili zaidi, hapo ni akili kumkichwa ndugu yangu
 
jibu rahisi sana km ni mdau wa kabaaaang haya ila jua ni ushetani huo na uyo ashaoza utaibka akiwa anajifungua mtoto watamtia cotton nyuma
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom