donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
- Thread starter
-
- #21
hii ni kampuni ya kuaminika?
je malipo yao yako je?
ni simple tu mkuu,
ukiingia kwenye website ya myus.com unasign up then unachagua membership inayosuite matumizi yako. kwa mfano, mimi nlijiunga kama standard user ambapo walideduct equvalent ya 9usd as setup cost. baada yahapo wanakupa adress ambayo ndio unakua unaitumia then wewe unachagua physical adres ya huku bongo ambapo ungependa wafanye delivery. hii inasaidia endapo a certain seller kwenye ebay hafanyi shipping to TZ.
e.g my us adress is:
Current Address
Don Lucchese
42838 press Lane
Suite 326-977
Sarasota, FL 34238
(941) 538-6941
yakuaminika kaka, halaf wakiupata tu mzgo wakp wewe mwenyewe unachagua waship kwa standards gan thrn wanakutumia mzgo wako kabisa hata kabla hujalipia shipping costs
kweli nilikuwa BADO mchanga wa hili Asante sana maana hii ya ku-ship USA tu imenikwamisha mno
sasa swali la mwisho
Hiyo STANDARD membership Haina DISCOUNT ya kuship kama nilivyosoma
je wewe kwa Fedex hiyo simu umelipa shilling ngapi?
Je hiyo unfrequently shipping wanayosema ni baada ya siku ngapi ktk hiyo standard membership?
MUHIMU SANA
hapo kwenye BOLD basi ni trusted company hiyo
Tulia unieleweshe hizo nilizoziwekea vi-box kwenye picha
Usichoke kwa maswali yangu maana nilishaanza kumtafuta PENIPAL uko USA ili anisaidie kwa hili ila naona nimepata soln
so far sijaiopen bado ila ntaangalia kama kuna possibility ya ku-unlock
Hiyo simu will not work in TZ, ni CDMA phone na hapa providers wetu ni wa GSM, the only CDMA providers ni Sasatel na TTCL(Not sure if bado wapo in business) and you know how those works
mkuu kwapo kwel hata mimi sikupaelewa vizuri nini wanamaanisha maana sikukumbana na kitu ambayo ina fall kwenye hizo service labda kama kuna wataalam zaid watupe mwangaza
nimeelewa fulani baada ya kuchukua kama 30minutes kusoma
consolidation------Yaani unaweza ukanunua mizigo mitano afu bado ika-packiwa kama carton moja ku-minimize cost
Merchandise-----Mzigo utakaotumiwa
repackaging-----Kuna merchants wana-pack mzigo kiasi kwamba unakua mkubwa hivo myUS wanaweza repack huo mzigo ili kupunguza uzito...hivo kukupunguzia hipping fee
Simu yako haukuilipia ushuru sababu The TAX/DUTY DEMINIMUS in TZ is 50$ yaani mzigo uliochini ya hiyo thamani hautozwi ushuru
Japo sikuelewa hapo juu uliponambia umedeposit 55$...hizi zote zilikuwa zakusafirishia simu au ni nn?
This is BEST thread form 2013 ....maana hamna thread JF mwaka huu imeniongezea Knowledge zaidi ya hiiTHANKS FOR SHARING
nimeelewa fulani baada ya kuchukua kama 30minutes kusoma
consolidation------Yaani unaweza ukanunua mizigo mitano afu bado ika-packiwa kama carton moja ku-minimize cost
Merchandise-----Mzigo utakaotumiwa
repackaging-----Kuna merchants wana-pack mzigo kiasi kwamba unakua mkubwa hivo myUS wanaweza repack huo mzigo ili kupunguza uzito...hivo kukupunguzia hipping fee
Simu yako haukuilipia ushuru sababu The TAX/DUTY DEMINIMUS in TZ is 50$ yaani mzigo uliochini ya hiyo thamani hautozwi ushuru
Japo sikuelewa hapo juu uliponambia umedeposit 55$...hizi zote zilikuwa zakusafirishia simu au ni nn?
This is BEST thread form 2013 ....maana hamna thread JF mwaka huu imeniongezea Knowledge zaidi ya hiiTHANKS FOR SHARING
Hiyo simu will not work in TZ, ni CDMA phone na hapa providers wetu ni wa GSM, the only CDMA providers ni Sasatel na TTCL(Not sure if bado wapo in business) and you know how those works
ni simu kaka
naomba nisaidie hapa:
1. nikilipia mzigo kwa paypal na nikaweka adress yangu ya hapa tanzania kwa ajili ya kutumiwa mzigo, je utafika kwangu kupitia njia gani? na malipo yanakuwaje? ushuru nalipa?
2. nikitumia hyo njia ya myus mzigo unafikia wap? sina address usa, nina address ya hapa bongo tu, je mzigo utafikia wap? gharama zitakuwaje?
nisaidie kaka
Simu yako haukuilipia ushuru sababu The TAX/DUTY DEMINIMUS in TZ is 50$ yaani mzigo uliochini ya hiyo thamani hautozwi ushuru
Japo sikuelewa hapo juu uliponambia umedeposit 55$...hizi zote zilikuwa zakusafirishia simu au ni nn?
Kwa hiyo wewe una jamaa zako US ambao wanakutumia mizigo kwa FEDEX baada ya kuwa mmemalizana na e-Bay huko huko US.mkuu mimi nimepurchase physical adress ya US ambapo shipments zangu zote zinaenda kwenye hiyo US adress then ndo wananitumia TZ mpaka ofcn kwa bro, imetake like 5days kutoka states mpaka hapa bongo
Kwa hiyo wewe una jamaa zako US ambao wanakutumia mizigo kwa FEDEX baada ya kuwa mmemalizana na e-Bay huko huko US.
Basi ungeandika "My first FEDEX shipment!"
Manake hata hiyo receipt confirmation uliyobandika hapo juu ni kielelezo cha FEDEX, sio eBay,
Huu mchongo haumsaidii mtu ambae hana ndugu huko Marekani wa kumuomba omba ampokelee pokelee mizigo na kumtumia tumia.
Mkuu, soma kwanza trend ya thread yote kabla hujaropoka... donlucchese hajasema kuwa ana ndugu huko US, amejiunga kwenye web ya MyUS ambayo inampatia address ya marekani...Kwa hiyo wewe una jamaa zako US ambao wanakutumia mizigo kwa FEDEX baada ya kuwa mmemalizana na e-Bay huko huko US.