brother wanaume wasiokatwa huweza kusumbuliwa na fungus kama wanawake tu, wasipokuwa wasafi.
well too bad hujanielezea...but me sioni tofauti, as far as circumcision is concerned. hata Afrika kuna jamii hazitahiri vile vile.
kukata ili kupunguza maambukizi ya UKIMWI ni umburulaz. acheni ngono zembe.
kukata kupunguza uwezekano was kupata cancer nayo ni umburulaz. tuwakate wasichana nyonyo ili tuwapunguzie uwezekano was kupata breast Cancer?.