My experience baada ya kumaliza chuo kikuu

tatizo waTZ wanafanya/wanataka kuhangaika na maisha iwe kama mashindano....yani wanataka usimulie sijui ulisota sana ukahangaika wee hadi ukafanikiwa,
wanasahau kila mtu na baraka zake.
Si ndo hapo
Ila nilikuwa nashinda njaa hapo stendi
Familia nayo ilikuwa haina kitu
Inshort mie ndio nilikuwa naangaliwa ntaisaidiaje family baada ya chuo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha[emoji23][emoji23] vijana wanataka mleta mada angesimulia alivyopata tabu sana kabla ya kupata kazi.
Mr Miller hatutaki hayo bhana...

huyu mtoto anahonga hatari.Vijana kama nyie MaHB ambao nyuso bado hazishuka.... Mmempata huyu pedeshee wa kike.
 
Umeolewa?
 
Mr Miller hatutaki hayo bhana...

huyu mtoto anahonga hatari.Vijana kama nyie MaHB ambao nyuso bado hazishuka.... Mmempata huyu pedeshee wa kike.
huyu ni ME au KE!!!?

nyuso yangu haijashuka sawa lkn imekunjamana...sasa huo uHB sijui upo upande gani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…