Mke mwenza hili nalifikiria kiundani afu ntakuambia kama ukubali au laaah! Watoto watarajiwa lazima wapate malezi mazuri bana hivyo kwenye haya majukumu lazima tuweke watu wenye uhakika, huyu Erickb52 moyo wangu bado unasita!
teh teh teh. papito kwa ajili yako sema bac unataka iweje?
sweetlady chukua hili:busu mororoooo.......mahabuba wangu yuko kwenye meeting akimaliza tu atakuja kuona unafiki wa Erickb52 kaviacha vile vitoto vimekua ombaomba kule meatu eti leo hii aje kulea mapacha wa Erotica anchekeshaa
Naomba nafasi nikamilishe miguu na mikono ili uwe unanikumbuka vizuri Erotica...mapenzi ya mtandaoni mi siyawezi....halafu ukipotea kwa miezi kadhaa ukirudi utakuta mambo mengine
Yummy anasema bado mumewe Mr Rocky hajaamka so hawezi kumwacha peke ake kitandani!
Remmy nae sijui ana majukumu ya kitaifa manake nimempigia hapokei, usijali watakuja!
Mi pia penda wewe sana mke mwenza ila nammiss sana our lovely husbanda klorokwini!
papito taratibu, unaniumiza namna hio. unafurahia mateso yangu? how come?
Jipangeni tu mi nipo kwanza mkikataa msaada wangu ndio veme nikawasaidie watoto wa Mr Rocky kule MeatuMke mwenza hili nalifikiria kiundani afu ntakuambia kama ukubali au laaah! Watoto watarajiwa lazima wapate malezi mazuri bana hivyo kwenye haya majukumu lazima tuweke watu wenye uhakika, huyu Erickb52 moyo wangu bado unasita!
hata mm ya mtandaoni siwezi labda kuwe na webcam. ninunulie bas ipad papito,
nikining'niza mguu juu niweze kuwepo hapa jf badala ya kutumia hili li desktop.
hayo sio mateso Erotica...ndio utu uzima. Bila kutoa jasho dunia hii hatutaweza kuongezeka.
Hahahaaaa tuache utani nilimiss sana mwaaaaah......naomba ukiwa miguu juu uwe unanipaishia mwaaah mwaaah zangu
basi niambie taratibu Ndahani, niambie kwa kunibembeleza na kunitoa woga. :A S cry:
Umeshapata leo hii hii sema kitu ingine. Ukiwa na muda nipigie ntakutumia maana natembea nayo kwa gari