My dear Erotica; pole but you must..............there is no other way!

thanks kungwito no. 2 cacico. mm penda nyie mkinilitea yale maujuzi,

ya kunwa uji kwa kuupoza na kuunyongesha kwenye bakuri, ya maufyonzo

na makida makida kibao! watoto wangu watakuwa the best duniani. mwaaaaah.
chondechonde akija mmojawapo a boy, usijemuita HEMED? atajamng'oa mtu kucha na meno!
 
Hata mi nashangaa sana! Yaani nilipoambiwa kuwa mie ndiye nimesababisha ujauzito wa whawa twins nilikuwa napakwa mafuta kwa mgongo wa chupa!!!!


Mpenzi Mpita Njia mbona siku ile ulikataa ukasema ww huwa

unapitaga tu hutii team. imekuwaje tena? :eek2:
 
Last edited by a moderator:
Erotica hata akikua ntavumilia na kwa sasa najitolea kuwapa mahitaji yote watakayo bil shida!
Kwanza ukuje uchukue kagari ka kuwapeleka Clinic
Natamani Mr Rocky atokezee hapa akuone vile ulivyo mnafiki, wewe utelekeze wanao afu wa Erotica ndio utake kuwalea ? Erotica my lovely mke mwenza usimsikilize huyo Erickb52 ni tapeli sana!
 
Last edited by a moderator:
Natamani Mr Rocky atokezee hapa akuone vile ulivyo mnafiki, wewe utelekeze wanao afu wa Erotica ndio utake kuwalea ? Erotica my lovely mke mwenza usimsikilize huyo Erickb52 ni tapeli sana!
Heheheee acha maumbea yako aisee
Umeambiwa kesi ya Mr Rocky inahusu huku?
Mi napenda mapacha kwani wale ni mapacha?
Kwanza Rocky analiniuzia kesi na wale ni watoto wake na alienda kuwasalimia sema alinirushia mzigo ili mkewe Yummy asilete noma...Umenigeti sweetlady ?
 
Last edited by a moderator:
Mke mwenza basi nikubali alafu wewe utakuwa unanilinda dhidi yake eti?
Mke mwenza hili nalifikiria kiundani afu ntakuambia kama ukubali au laaah! Watoto watarajiwa lazima wapate malezi mazuri bana hivyo kwenye haya majukumu lazima tuweke watu wenye uhakika, huyu Erickb52 moyo wangu bado unasita!
 
Last edited by a moderator:
Bila Ndahani kuniaga siondoki! eti kamtuma baby Kaunga aje aniambie,

kwani yy hawezi kuniambia stret? kaniboa huyo! nakuona tu unafurahia baby kunipiga stop!

Erotica naona wanajamii hawajagundua Friday ndo siku ya mwisho kuonekana kwenye jamvi...utaenda kwenye mapumziko ya lazima. Mmoja ya baba watoto atakuwa amekupa likizo ya lazima
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom