My dear Erotica; pole but you must..............there is no other way! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My dear Erotica; pole but you must..............there is no other way!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kaunga, Jul 18, 2012.

 1. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Wapendwa wana JF

  Kwa kuwa baba wa wamatwins hajulikani na baada ya mchakato wa kupata baba wa kufikia wa TWINS wa Erotica kuwa mgumu, tumeamua (mimi and my love Erotica) kuwa mimi niwe mzazi mwenza wa hao twins. So ninajitangaza rasmi hapa jukwaani kuwa mimi ni mmoja wa parent wa twins. Hilo ni moja!

  La pili, kutokana na ushauri wa Dr. @MziziMkavu baada ya kuvisit JF Doctor clinic ya parents na mtoto, bibie Erotica anatakiwa apate bedrest tena ile ya kuning'inizwa miguu juu; thanks to Kaizer na confession yake ya last weekend. So kwa muda mpaka watoto wazaliwe, poor Erotica haruhusiwi kufanya kazi yoyote, partying na hata SEX (labda siku moja moja akilia lia sana, itabidi nimtibu mwenyewe taratiiibu yaani in a lesby way) ni complete bed rest.

  Sorry to tell you honey, huruhusiwi hata kuingia JF maana huku ndiko kunakoamshaga mizuka hasa ukimuona Ndahani.
  Mwisho ninawaomba wapenzi wote wa Erotica tushirikiane katika kuhakikisha tunazaa healthy and bouncing twinbaby girls! Here is how we are going to do Boflo utakuwa responsible kwa usafiri wakati wowote ule, Ndahani utakuwa unamshika mkono bibie akihitaji support, HYGEIA utakuwa unamjali kwa meal, Excellent utakuwa unampiga picha kila stage hadi watoto wazaliwe gfsonwin, cacico, sweetlady mtakuwa mnamfunda kuwa mama mwema. Erickb52, platozoom na Judgement mtakuwa mnatuma mpesa, tigo pesa au airtel money zitazo kava matumizi yote ya mtoto. Paxman utakuwa unamkiss tu kama kawa yako, mchungaji Kaizer utakuwa unamwombea tu maungamo hayahitaji sana kwani dhambi ameacha, BAK utakuwa unampigia mziki, BADILI TABIA utakuwa unamletea umbea wote wa jf, Roulette utakuwa unawa ban wanaomtaja taja ili arudi, Bishanga tafuta zawadi ya kumpa akijifungua twins. klorokwini yeye atasaidiana na babu Asprin siku ya tukio kubeba hao twins. Mimi Kaunga nitakua nasimamia kila kitu na kumpeti peti kuhakikisha maisha yanaenda vizuri najua Eiyer my sweet man will understand.

  Kuna yale ya msingi ya hapa na pale ambayo tutahitaji wadau wengine watusaidie na tutazidi towa mwongozo.

  Mmmwaaahh (from Erotica)

  Update!

  Sadly but truelly, our favourite Erotica has to take a break for a moment, l know she will be missed a lot, and kwa muda CC and MMU will be without her erotic scent. So mamitoz and papitoz this thread was meant to be a bye bye thread. Twins are taking all her time now.

  Note
  Msisahau assignment zenu lakini!
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Hahitaji wine wine au whisky hivi!?
   
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Jamani Pombekali, tutawaathiri matwins. Unaonaje ukawa unansupply juice ya carrot ili baby gals wasihitaji macarolights baadaye? LOL

  Halafu muulize Nyani Ngabu na Kongosho maana ya winewine Lol ni katika vitu alivyopigwa marfuku Erotica for the moment!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  You girls are crazy, you know that? hahahahaha
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Ok,ok, ok, swali la kizushi kwako Kaunga. Unaposema mchakato wa kumtafuta BABA wa hao ma twins una maana gani, from what i know ni kwa a lady and a gentleman ndo wanaotafuta kids,hii ya kumtafuta baba wa watoto imekaaje?
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  At least kuwashwa-washwa itatulia kwa muda.
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha! Usisahau assigninent yako lkn; maana watu wakianza kumlilia Ero wao, hakawii kupuuza instruction za daktari, n u know how stubborn she can be! LOL
   
 8. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  I hope so; l real hope so Zomba!
   
 9. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Wea du u live Pombekali? Jukwaa la Siasa?
  Kifupi, my love Ero during one of her sex things, aliDO na 5 men n ME. Me ni out of the question coz hatuwezi kureproduce, lkn hao 5 men hakumbuki who could be a father coz si tu alilewa na michezo, but pombekali also.
  Accidents happens, si unajua! LOL

  So tuliamua kuomba mwanamume wowote wa JF awe baba wa twins wetu; wote waliyeyusha!
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  I remember that, hivi kweli hata Bishanga amegoma? Kwa ninavyomjua na anavyopenda umaarufu, kama hata Bishanga ameruka kimanga then something is seriously wrong with Erotica.
   
 11. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Or something seriously wrong with JF men; Bishanga alishindwa kuhimili mapigo ya sexy erotica maana the 1st day tu, naniliu yake ilivunjika; yule ni maneno tu na jeuri fweza lkn kwa Ero, aliishia kusema 'suburi nakuja' Lol

  Btw, ulikuwa wapi, maana nina feeling kwamba ungewezana Ero! LOL
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  My honeyed, darling, sweet and loving Kaunga,

  the love of my life ana apple of my eyes I am so touched

  by you love and cafe filled with so much devotion! najidaije sasa huku mtaani?

  mbona watanikoma? Ila baby mbona kama vile wanisitisha kijanja kutoshiriki?

  nakuhakkshia i will be a good gal, hata Elizabeth Dominic anaweza nivochia hilo.

  au utakuwa comfortable tuombe some msamaria mwema aninunulie ipad

  niwe natumia huku nimening'niza miguu juu? wat eva u want i will do baby.

  I love you sweet darling. mwaaaaaaaaaah! :A S-rose:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #13
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Hivo vinahitajika, ukitoa hivo utakuwa umempunguzia mchungaji Kaizer gharama kidogo.

  sababu siruhusiwi pombe kali hakikisha wine iwe nyepesii na whisky atakunywa baby kaunga na wageni.

  maana nasikia kwa mzigo wa zambi nilionao maungamo ni mwezi mzima! yan kaz kwel kwel.
   
 14. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  teh teh teh. i believe u are ryte mamito. we are so happy. it is going to be one happy family!
   
 15. RR

  RR JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  I am around....just in case....
  Just around.
   
 16. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
 17. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0


  teh teh teh. papito Zomba utani-miss? hata kwa mabaya yangu?
   
 18. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #18
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  say waaat??!! RR Is it for real? i am dangerously getting mihemko

  not good at me at al. teh teh teh. that has been noted. for the time

  being come this way papito, nibariki ofa kwa a hot wet kiss. mwaaaaaah.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,865
  Likes Received: 6,216
  Trophy Points: 280
  hilo la umbea ndo mpango mzima,

  ingwa simu yangu ime rest in peace, naenda kutafuta simu mpya ili Erotica asipitwe....

  kaa mkao wa kula mama kijacho....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahaa Kaunga bhana lol
  ntatuma usijali ila nipeni mtoto mmoja nikae nae
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...