My dear Erotica; pole but you must..............there is no other way!

Mke mwenza hili nalifikiria kiundani afu ntakuambia kama ukubali au laaah! Watoto watarajiwa lazima wapate malezi mazuri bana hivyo kwenye haya majukumu lazima tuweke watu wenye uhakika, huyu Erickb52 moyo wangu bado unasita!

mm nasikiliza hoja za akina mamito kwanza za akina papito badae. waiting mwanzato.
 
Erotica naona wanajamii hawajagundua Friday ndo siku ya mwisho kuonekana kwenye jamvi...utaenda kwenye mapumziko ya lazima. Mmoja ya baba watoto atakuwa amekupa likizo ya lazima

teh teh teh. why? why papito why? acha kunirusha roho. mwaaaaaah.
 
Natamani Mr Rocky atokezee hapa akuone vile ulivyo mnafiki, wewe utelekeze wanao afu wa Erotica ndio utake kuwalea ? Erotica my lovely mke mwenza usimsikilize huyo Erickb52 ni tapeli sana!
sweetlady chukua hili:busu mororoooo.......mahabuba wangu yuko kwenye meeting akimaliza tu atakuja kuona unafiki wa Erickb52 kaviacha vile vitoto vimekua ombaomba kule meatu eti leo hii aje kulea mapacha wa Erotica anchekeshaa
 
Last edited by a moderator:
una miakili sana ww, me love u like mwaaaaaah! mbona sasa Yummy

na Remmy hawaji hali wamepewa majukumu? au Catherine kawabania?

Yummy anasema bado mumewe Mr Rocky hajaamka so hawezi kumwacha peke ake kitandani!

Remmy nae sijui ana majukumu ya kitaifa manake nimempigia hapokei, usijali watakuja!

Mi pia penda wewe sana mke mwenza ila nammiss sana our lovely husbanda klorokwini!
 
Last edited by a moderator:
Naomba nafasi nikamilishe miguu na mikono ili uwe unanikumbuka vizuri Erotica...mapenzi ya mtandaoni mi siyawezi....halafu ukipotea kwa miezi kadhaa ukirudi utakuta mambo mengine

hata mm ya mtandaoni siwezi labda kuwe na webcam. ninunulie bas ipad papito,

nikining'niza mguu juu niweze kuwepo hapa jf badala ya kutumia hili li desktop.
 
sweetlady chukua hili:busu mororoooo.......mahabuba wangu yuko kwenye meeting akimaliza tu atakuja kuona unafiki wa Erickb52 kaviacha vile vitoto vimekua ombaomba kule meatu eti leo hii aje kulea mapacha wa Erotica anchekeshaa

hawa pachaz watakuwa na bahati hao, so mach love kutoka

kwa maantiz wa ukweeeee! mwaaaaaaah. nakupa a yummy kiss Yummy.
 
Last edited by a moderator:
Heheheee acha maumbea yako aisee
Umeambiwa kesi ya Mr Rocky inahusu huku?
Mi napenda mapacha kwani wale ni mapacha?
Kwanza Rocky analiniuzia kesi na wale ni watoto wake na alienda kuwasalimia sema alinirushia mzigo ili mkewe Yummy asilete noma...Umenigeti sweetlady ?

Unaota wewe ukiwa macho.......mi sina noma kwa mai hazbandi Mr Rocky na yy analifahamu hilo hata kama ana watoto kumi wa nje mie niko tayari kuwanyonyesha sembuse kulea!
 
Last edited by a moderator:
Yummy anasema bado mumewe Mr Rocky hajaamka so hawezi kumwacha peke ake kitandani!

Remmy nae sijui ana majukumu ya kitaifa manake nimempigia hapokei, usijali watakuja!

Mi pia penda wewe sana mke mwenza ila nammiss sana our lovely husbanda klorokwini!

umemtaja hubby dubby! ngoja nipe dakika moja ya kutuliza moyo uliolipuka bada ya kusoma jina. amen.
 
Mke mwenza hili nalifikiria kiundani afu ntakuambia kama ukubali au laaah! Watoto watarajiwa lazima wapate malezi mazuri bana hivyo kwenye haya majukumu lazima tuweke watu wenye uhakika, huyu Erickb52 moyo wangu bado unasita!
Jipangeni tu mi nipo kwanza mkikataa msaada wangu ndio veme nikawasaidie watoto wa Mr Rocky kule Meatu
 
Last edited by a moderator:
hata mm ya mtandaoni siwezi labda kuwe na webcam. ninunulie bas ipad papito,

nikining'niza mguu juu niweze kuwepo hapa jf badala ya kutumia hili li desktop.

Umeshapata leo hii hii sema kitu ingine. Ukiwa na muda nipigie ntakutumia maana natembea nayo kwa gari
 
Unaota wewe ukiwa macho.......mi sina noma kwa mai hazbandi Mr Rocky na yy analifahamu hilo hata kama ana watoto kumi wa nje mie niko tayari kuwanyonyesha sembuse kulea!
Hahahaaaa huna noma?
Lol ni sawa na kusema wivu sina ila roho inauma lol
pole sana Yummy
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa tuache utani nilimiss sana mwaaaaah......naomba ukiwa miguu juu uwe unanipaishia mwaaah mwaaah zangu

mwaaaaaah to yummy for liking my mwaaaaaah.

mwaaaaaah to yummy for all the time she nids my mwaaaaaah.

mwaaah to yummy sabb Ero loves her like mwaaaaaaah.

mwaaaaah. mwaaaaah. mwaaaaah. mwaaaaaaaah. :A S 465:
 
Umeshapata leo hii hii sema kitu ingine. Ukiwa na muda nipigie ntakutumia maana natembea nayo kwa gari

aww darling Ndahani. unaniruhusu kukwita darling this once? Asante sana papito.

nitamsumbiri Kaunga baby tuje nae. anasema haamini kama naweza jikontrol

wen it kams to u. sijui ana mana gani yani! :A S-baby:
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom