wewe jaman ur ma enjo sent from above....IKI NI KILIO CHANGU N I WAS ABT TO WRITE T HERE ...KM KUNA MTU ANA KITABU CHOCHOTE CHA UYU BWANA ANAMBIE....NAMPENDA HAKUNA TENA UYU jamaa alikuwa anaandika vzuri ...marafiki zangu wote wa nairob wanajifanya hawana bt m real in nid na vtabui vyake...UKIPATA NISHTUE PLS N PLS ......"This thing between woman legs makes things really happen"...
Huu ni moja wapo ya mistari ninayoikumbuka sana kwenye novel hii marufu. naomba kama kuna mdau anayejua inapopatikana novel hii iliyojizolea umaarufu mkubwa sana Africa, anijulishe plz.
Novel name; My dear Bottle
Writer; David G. Maillu
wewe jaman ur ma enjo sent from above....IKI NI KILIO CHANGU N I WAS ABT TO WRITE T HERE ...KM KUNA MTU ANA KITABU CHOCHOTE CHA UYU BWANA ANAMBIE....NAMPENDA HAKUNA TENA UYU jamaa alikuwa anaandika vzuri ...marafiki zangu wote wa nairob wanajifanya hawana bt m real in nid na vtabui vyake...UKIPATA NISHTUE PLS N PLS ...
yaaan umenikuna kweli kweli cz umegusa panapowasha pangu...teh teh km nawaona vle watafsiri...:twitch::twitch: macho kodo kodo mawazo kuleeeeeeeeeeee kwa seramala..!!!!!
Rose a.k.a dada......tutakorofishana,kwani wewe huwezi muambia Tuko kuhusu hicho kitabu mpaka uongee yote hayo,mara kakukuna,mara sijui nini,nenda taratibu.....unagusa target za watu hapa...........lol
Ntawatafutia basi......:coffee:
Yaani mi niliwahi kuwa nacho nikiwa mwanafunzi, akaja kuniibia mwalimu (ajabu eh?). Nimejaribu ku-order online kwa publishers fulani, naona wananiyeyusha.
DADATOM ..kwan umesahau kuwa silaha ya mwanamke ni maneno?mi NAHONGA MANENO YE ANANIONGA ELA NA KITABU AKIKIPATA
ukimaliza kusoma futa TUKO asione...asije akaninyima bureeeeeeeee!!!
Hiki kitabu kilinisabishia maumivu kwa nilichapwa nilipokiiba kukisoma! na kikafichwa na my late father mpka anafariki aliingia na siri ya hiki kitabu kaburini, I was in std 6 by then!
TUKOha ha h a h haaaaaaaaa,nimekusoma,kwa kuzitumia silaha wewe ni bingwa.....mi kazi kujifunza kutoka kwako.....lol
Usjali,Tuko hana shida si mchoyo atakupa mi ninamfahamu sana........ukishasoma we nipe na mimi,nijue siri za hicho kitabu.......:laugh:
naona kama nilikuwa sijazaliwa enzi hiyo
TUKO
si mchoyo atanipa vtabu na majalida yote ila naogopa asitake tufanye FIELD KWA YALE JAMAA ALIYOYAANDIKA..
dada tom bwna.....kat ya majina mazur ni TOM ..WAT DO U SAY?
tom jaman...tom ivi...tom ahh ...to to tom on top...haha hahha byeeeeeeeeeee!!!!!!
TUKO
si mchoyo atanipa vtabu na majalida yote ila naogopa asitake tufanye FIELD KWA YALE JAMAA ALIYOYAANDIKA..
dada tom bwna.....kat ya majina mazur ni TOM ..WAT DO U SAY?
tom jaman...tom ivi...tom ahh ...to to tom on top...haha hahha byeeeeeeeeeee!!!!!!
tom jina zur teh teh !...asikwambie mtu mbona haukumwta mwanao CHNGWAMBE,KANDIMBA..[/COLOR]
wewe Rose usinifanye nibadili jina la mwanangu........mbona akili yako imeharibika ivyo,unawaza hilo jina zuri kila saa....byeeeeeee!!!
Kumbe mwanao wa kiume... Mi nnaye wa kike...:clap2::clap2::clap2:
ahh hahah yule mwenye kapyafumu...!!!!!!!!Kwenye ile novel kuna stori anatoa mwandishi ya dada anaitwa Josephine. Hii ndo itanifanya kamwe nisisubutu kutata field...