beibe nasty sio mgeni sana kwangu ila sikujua kama na yeye ni wa ukoo wetu pacha
Ndio dada yako huyo karudi, uache kudeka deka sasa
Dady dada karudi kudeka kuko palepale! lazima nideke bhana wazazi bado mpo hai
nina dada kaka bado hamjaniambia kama ninao.
Yupo kaka yako wa hiyari ila ni mtu wa kushinda migodini tu huko...hadi tushamsahau
mkwe nakwambia mi ndo kwanza nayaona.. siku nne siko ndani ya nyumba..
nashukuru nimeshayamaliza... usijali kabisaaa!!
Anaitwa nani?
Nimeshakuelewa pacha nimemuelewa na dadaangu beibe nasty
tumeendana sana nimefurahi ni muelewa sio kama naniiiii! nimefurahi.
Haswaa...huku hadi kieleweke kama wengine hawataki posho mimi nataka saaana waniwekee kwa akaunti yangu
wasipokupa tutaandama watoto wako wote hadi bungeni daddy
jioni uje nyumbani tuzungumzie hili swala la zivyo utajuuuuuta kunifahamu
umeona mama eeeeh itabidi tumweke kikao huyu .mkweo Excel
Aisee kumbee
kunani tena? kwanza aisee ma mkwe wangu Lady doctor, nina zawadi yako hapaa kipindi hiki ambacho ba mkwe hayupo!
kamatilia hili blanketi mama mpaka arudi... utapataje shida wakati mi nipo? haiwezekani bana!!!
Mhm bahati imedondokea kwenye mti wa mpodo lazima ukatwe tu" #Teambazazi wakilisha watu8 najua nikazi kuitwa baba kwani siku zote mtoto achagui baba! Ila nampa pole beibe nasty ikiwezekana omba laana ulaaniwe huwe free maana hapo baba huna huyo kama simba dume akiwa na njaa anatafuta watoto wake walipo awatafune ila usiyafuate maneno yangu nasema tu ukitaka nifate nikupe ya ndani zaidi Mentor mwenyewe umepotea kuwa na br kama huyo.
nimekupenda bure mkwe, natumai mwanangu hatojuta kuwa na wewe.
Asante kwa zawadi