My crazy theory…..

Nadharia dhaifu sana hii ukizingatia namna serikali ya Magu ilivyo respond baada ya Lissu kupigwa risasi.
 
,Bonge moja la comment. Kila anayejaribu kumsafisha jiwe kwa kuwa tu Samia ameshindwa kuongoza nchi huwa simuelewi.

Wanamtandao wamepata nguvu hivi sasa kwa kuwa Samia anaingilika na kulubunika.

Jiwe alishindwa nini kukemea jaribio LA kumuua Lisu? Mbona alizuia hata viongozi kwenda kumuona kule Nairobi? Mbona alipiga marufuku kumchangia hata damu mbwa huyu jiwe? Mbona alimnyima hata fedha ya matibabu?

Jiwe hasifishiki.
 
Magu hakukemea kabisa?
 
Magu alingizwa chaka kwamba huyo mtu aondolewe sababu ya( challenge aliokuwa anamletea Ila ilikuwa imeshapangwa na wanamtandao) sababu kila kitu kilikuwa kimewekwa sawa na bashite ambaye ni mwanamtandao mtiifu Ila kijana wa mzee kwenye macho ya watu (hata baba yake mwenyewe magu aliingizwa chaka) kwa kipindi hicho mama alikuwa hajaingizwa vizuri kwenye mfumo ndo akawa anatumiwa na wanamtandao partially sababu bado kwa magu alikuwa hana nguvu kiivo hapo pia ikatengeneza uhasama(alitumwa na wana mtandao kuhakikisha Hali ya lisu sababu ya clearance yake) naibu spika alipata taarifa hio sababu nae alikua mwanamtandao mtiiifu. Ndo maana surveillance ziliondolewa kwake ndugai alikuwa wa mzee na yeye alipewa taarifa kama wengine kama mzee wake magu .....wanamtandao ni deep state ya tz iliokomaa sio mchezo....hio ni nadharia yangu
 
Well said
 
It's obvious
 
Mkuu kwa akili hizi za vijana wa mtume hawatokaa washinde the so called "mfumo Kristu".
 
..Jpm alikuwa na hit squad.

..Mrs.Hafiz naye kairithi hiyo hit squad.

..mtu msafi angeisambaratisha hit squad, au angeachana nayo kimyakimya.

..Rais wa Tz kama anataka jambo fulani hashindwi kulifanikisha, na kama hataki hashindwi kulizuia.
 
Ni maelekezo kutoka msoga mission ya kwnza target ni lissu
Mission ya pili target alikuwa Magu

Can't you see
Can you?

..kama ni mission ya Msoga basi Jpm alitakiwa ampe kila msaada TL ili apate ahueni na tukio lile baya.
 
Ni JPM na serikali yake walihusika 💯, na waliohusika wengi bado wapo, I guarantee kuna siku mmojawapo ataongea ukweli wote hadharani na kilichotokea siku hiyo from A to Z, Nina uhakika wengine wameshawaambia wake zao na ndugu zao, regime ya Magufuli imeshapita ni swala la muda tuu
 
Mkuu umechanganya mafaili.
Magufuli is on record kwa kusema, mtu anayetusaliti katika mapambano yetu ni fair game.
Na hardly 24hrs later risasi zilimmiminikia Lissu.
We dont forget!
Mtandao wana madhambi yao makubwa, lakini hili la kupigwa risasi Lissu, its in Magufuli’s court!
 
Magufuli hakuwa MTU wa kuigiza wema kwa watu anaowachukia. Tuseme kwa vile alionekana kufurahishwa na mabaya yanayowakuta wapinzani wake, Mtandao ulitumia fursa hiyo kumgombanisha na RAIA wengine.
Hata Mimi binafsi ukiwa adui yangu siwezi kujihangaisha kukupa msaada pale unapofikwa na baya, nitaacha ujipambanie.

Hili linalosemwa lina uwezekano mkubwa sana!
 
Kwa hilo la Lissu ni mwenyewe alifanya, kwa jinsi Magu alivyokua anapenda sifa lazima angewaumbua hao wana mtandao..!!

Na Magu adui zake wakubwa walikuwa wahuni kuliko hata upinzani. Sasa ingetokea fursa kama hiyo sidhani angeiachia..!!

Sema wahuni walimjaza akajaa kisha wakamgeuka..!!
Na wahuni walifanikiwa kuchomeka watu wao ili kumuharibia kwa wananchi.
 

Haya yote yanafanyika na wewe unakua wapi? Hauna imtelligence? Na kama hauna unafikirir wewe upo salama kiasi gani, Kama lisu anaweza kushambuliwa mwenye makazi ya Serikali yenye ulinzi na Macamera na Rais aiwe na taarifa. Unazani yeye mwenyewe yuko salama kiasi gani?

Na kama kweli imefika hapo, Si bora ujiuzuru sasa maana kazi ya lutulinda imekushinda
 

Alivujisha clip za kina Nape, Angeshindwa kunyetisha za hao wahuni. Tuache masihara bhana.

Awe aliwatuma au hakuwatuma ila alikua na taarifa ya kinachoendelea na akachagua kukaa kimya kama ataishi milele
 
Alivujisha clip za kina Nape, Angeshindwa kunyetisha za hao wahuni. Tuache masihara bhana.

Awe aliwatuma au hakuwatuma ila alikua na taarifa ya kinachoendelea na akachagua kukaa kimya kama ataishi milele
Shangaa na wewe..!!
Magu hiyo ndo ingekuwa kete nzuri kwake ya kuwamaliza wahuni kama ni kweli Lissu alipigwa risasi na mtandao..!!

Magu hatukatai kuna baadhi ya mambo alifanya vizuri ila kuhusu kuua upinzani hapo ndipo anguko lake lilipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…