Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 6,121
- 6,062
PERIOD!Kwa hili naamini Magu alihusika, tena 100%
Ndio chalamila anasema usiuze uduvi mtoto wa kiume atakuoaChalamila ni takataka tu.
Mawazo ya kishoga hayo.Ndio chalamila anasema usiuze uduvi mtoto wa kiume atakuoa
Chalamila kasemaMawazo ya kishoga hayo.
Kauli ya kishoga hiyo.Chalamila kasema
Tanzanian deep state….Bashite ikawaje yupo ndani , na wale wengine wakatemwa🤔 kuna namna chuma alizidiwa ujanja
Kwa hio unasema chalamila niKauli ya kishoga hiyo.
Yeyote ambaye mambo ya kishoga yametawala fikra zake, ni shoga tu.Kwa hio unasema chalamila ni
No, I think you're onto something...What if…..just what if wanamtandao ndo waliosuka njama za kutaka kumuua Tundu Lissu huku wakijua kwamba endapo watafanikiwa, basi lawama zote atabeba/ atabebeshwa Rais Magufuli kwa sababu tayari watu hao wawili [Magufuli na Lissu] tayari walikuwa na vita baridi ya maneno?
Crazy huh? Maybe it is crazy, but it ain’t far-fetched.
Watu huwa wanajua sana ku exploit fursa.
What say you? Am I way off base? Or am I onto something here….
Kama yote hayo ni kweli na Magufuli ameshakufa na tunajua kuna wengi ndani ya serikali na ndani ya CCM, kwa nini mpaka sasa waliobaki hawajasema chochote?Hotuba ya Magufuli saa 6 mchana ina '' implication'' kwa tukio la 7 mchana huo. Key words '' mtu, msaliti, risasi''
Pili, ikiwa Magufuli hakuhusika alitakiwa ajitenge na uovu ule, ironically akawa cheerleader hata kwenye matibabu
Tatu, watu waliokwenda kumuona Lissu Nairobi baadhi walikutana na kadhia, nasikia hata Maza alinuniwa.
Nne, hakuna maelezo yule kijana wake mpendwa DAB alikuwa Dodoma anafanya nini, yeye hajanusha
Tano, wahusika akina slow slow wangeshavalia njuga hasa kipindi hiki wakiwa na mawaa na wana mtandao
Sita, Polisi walioficha Kamera walikuwa chini ya utawala wa Magufuli
Saba. Magufuli alikuwa na nguvu za kuagiza uchunguzi wa haraka na wa kina ikiwa hakujua nani alifanya
Nane, Bunge lililazimisha kuziba nafasi ya Tundu Lissu makusudi kabisa, Magufuli alikuwa na uwezo wa kuzuia
Tisa, baada ya uchaguzi wa 2020 vyombo vya magufuli vilimfuatilia Lissu tena akikimbilia ubalozi wa EU.
JokaKuu
💯%.No, I think you're onto something...
The assumption is like the likely...
Hawa wanaoitwa - Washauri, washauri, washauri wa Rais, kama huchanganyi na zako, ni rahisi sana kukuingiza kwenye mess na kutoka humo ikawa ngumu...
Aliingizwa mkenge na baadae wakamuua...
Naona Bi Samia Suluhu Hassan naye kwa ujinga na ulimbukeni wake, anatembelea kwenye mtego huohuo...
Waliobaki wapo ndani ya mfumo na wanalinda masilahi yao. Kwa mfano IGP rtd Sirro ni mkuu wa Mkoa.Kama yote hayo ni kweli na Magufuli ameshakufa na tunajua kuna wengi ndani ya serikali na ndani ya CCM, kwa nini mpaka sasa waliobaki hawajasema chochote?
Hmm….naona ni speculations tu.Waliobaki wapo ndani ya mfumo na wanalinda masilahi yao. Kwa mfano IGP rtd Sirro ni mkuu wa Mkoa.
Alipo ondolewa u IGP akapewa ubalozi Zimbabwe deliberately kwasababu kuu mbili
1. Kumuacha ndani ya mfumo ili asizungumze hovyo
2. Kumtoa nje asijihusishe na siasa za ndani
Aliporudi nchi akapewa ukuu wa Mkoa wa Kigoma, again for the same !
Utaniuliza mbona akina '' Maja na Mission'' hawasemi! Well, wao wanapata 80% ya mshahara, wana watumishi, magari ya Umma , madereva n.k. Watasema ili iweje? Wanataka nini zaidi ya kukumbatia vibuyu vya asali na wajuu zao. Kumbuka nao wana watoto wana waanda kushika nyadhifa!
Biswalo Mganga si Jaji kule , anakula kwa raha zake, atasema ili iwe nini kwa masilahi yake
Kumbe hata wewe upo kwenye kundi la WAJINGA?What if…..just what if wanamtandao ndo waliosuka njama za kutaka kumuua Tundu Lissu huku wakijua kwamba endapo watafanikiwa, basi lawama zote atabeba/ atabebeshwa Rais Magufuli kwa sababu tayari watu hao wawili [Magufuli na Lissu] walikuwa na vita baridi ya maneno?
Crazy huh? Maybe it is crazy, but it ain’t far-fetched.
Watu huwa wanajua sana ku exploit fursa.
What say you? Am I way off base? Or am I onto something here….
Hakuna binadamu asiye mjinga. Hata wewe ni mjinga tu.Kumbe hata wewe upo kwenye kundi la WAJINGA?
HahahaYeyote ambaye mambo ya kishoga yametawala fikra zake, ni shoga tu.
Maana kila kitu anakiangalia kupitia tundu la ushoga!
What the helly!