My confession

Wewe wasemaaaaa!!!
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]zingine bahati,mbaya ,Zingine kusudi nilipata miscarriage ya mapacha nalia mpk kesho .....!!!

Chikongola hawajambooo???
 
Aseehh!hongera sana dear!Mungu mwema sana
 
Una bahati umewapata hao. Wengine wameishia kutozaa tena.

Mungu wetu ni wa Rehema na huruma
I have friend alitoa mimba form four since then hana mtoto she is 31 now hana aliolewa kaachika,kaolewa tena hana mtoto hata mmoja
 
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]zingine bahati,mbaya ,Zingine kusudi nilipata miscarriage ya mapacha nalia mpk kesho .....!!!

Chikongola hawajambooo???
Hahahaahah chikongola!!? Hata sikujui shoga nahisi hawajambo
 
How it happened?do pole sana!!!naogopa sana halafu haya mambo ni hatari sana baasi tu!!mimba ni too risk to abort though wanawake tunaweka pamba maskioni
 
I have friend alitoa mimba form four since then hana mtoto she is 31 now hana aliolewa kaachika,kaolewa tena hana mtoto hata mmoja
Dah, pole sana.
Hospital vipimo vinasemaje kuhusu kizazi chake?

Kuna wengine wanatoa mimba, kizazi kinabaki salama lkn hawezi kubeba mimba kwa sababu za kiroho.

Kama kizazi kipo safi, aombe toba mbele za Mungu, hakika atapata mtoto
 
No need to tell him labda miaka 20 ijayo ila sio Leo au hivi karibuni
Wala sijali kupigwa mawe
Tatizo imenikaa akilin all those years
Najua iko siku nitashare na baba watoto,sijui ataichukuliaje bt i will tell him one day.
 
Wala sijali kupigwa mawe
Tatizo imenikaa akilin all those years
Najua iko siku nitashare na baba watoto,sijui ataichukuliaje bt i will tell him one day.
USIJARIBU, USITHUBUTU... Huo unaive wako baki nao please. Kama unaing'ang'ania dhambi uliyokwisha samehewa ni shauri yako usimtie matatizoni mtt wa watu.
Unasema umelelewa katika mazingira ya dini mbona huoni kama ukitubu Mungu anasamehe? Na umekiri umepata mtoto baada ya toba it means Mungu amekuhurumia amekusamehe sasa iweje unaona bado hujasamehewa? Unapingana na maandiko? Unatilia shaka huruma ya Mungu? HEBU ACHANA NA HILO JAMBO ENDELEA NA MAISHA YAKO. It is irreversible
 
Sasa hii stori inaingiaje kwenye hii toba ya mwenzetu
 
Dah, pole sana.
Hospital vipimo vinasemaje kuhusu kizazi chake?

Kuna wengine wanatoa mimba, kizazi kinabaki salama lkn hawezi kubeba mimba kwa sababu za kiroho.

Kama kizazi kipo safi, aombe toba mbele za Mungu, hakika atapata mtoto
Kwao yuko peke yake hana ndugu ht wa kusingiziwa.,.Hosp hizo ndo anakesha
 
Haya mambo magumu sana
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wewe mtwara ipi unayokaa ?nafikiri ya jf
Ahahahhahahahah me nakaa mtwara mjini huko chikongola Sijui wapi hata sikujui.... Huwezi amini nipo mtwara muda tu ila naff hotel nimepajua wiki iliyopita[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Pole sana Girlzia.
No one is perfect.
 
Daah nimeumia sana Mimi kama mwanamke ninaependa watoto Mungu akusamehe Na akutie nguvu uweze kusonga mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…