My Confession - Nimepima UKIMWI

Unaweza kulala na bundi ukamka mwenye bahati, ila usijaribu tena kumtembeza kamanda bila gwanda kwenye pori la pamba, utakuje ulie bahati hiyo huwa haijirudii..all and all big up nazani maisha unayona mtamu kweli..

badili mwendeno anzisha familia uish kwa uaminifu sana manake mungu hajaribiwi mara 2
 
Hongera Sana ! Amini Ni Kwa Neema Na Rehema Tu Za Mungu Sio Kwa Ujanja Wako! Sasa Tuliza Hiyo Tochi Ndugu Yangu Ili Iache Kumulikamulika Tena Hovyo! Na Km Ukikuta Huyo Dada Ni Mzima, Tulia Nae Huyohuyo Binafsi Nimempenda Kwa Msimamo Wake!
 
Hongera kwa kupata ujasiri wa kwenda kupima..Iwe fundisho kwako na kwa wengine wanaoendekeza ngono zembe!!
 
Hongera kwa ujasiri huo,sasa u2lie na hyo bibie mana ulivompania mmmmmh!
 

sasa mbona mshauri ajakwambia unatakiwa kupima mara ngapi?

Amekwambia kama kuna window period?(kipindi dirisha?
 
Heri yenu mliopima mkakutwa poa,leo mna furaha ajabu,lakini hata sie tuliopimwa tukakutwa vipo bado tunaishi kwa uhakika na furaha tele.hapo mungu ni mwema wengi wazima wametangulia ila c tupo,najua bado hatujamaliza kazi iliyotuleta duniani'ikifika 2,by by !
 
!
!
UKIMWI haupimwi mkuu, unHkikiahwa tu, na ndio maana majibu ni mawili tu unao au huna. Vitu vinavyopimwa ni uzito, urefu na kadhalika. Na kilichokutuma ukajitoa muhanga hivyo nini!.............ukitaka kujua kwa urahisi jikate upate kidonda then angalia speed ya kupona baaaasi
 
Kuna ile Blood group gani sijui, kitaalamu inasemekana kuwa ngumu sana kwa wao kupata Ukimwi. Ndugu labda upo group hilo, ongera.
Mkuu, hata mimi hilo ndilo linijia akilini nilipo soma post yake, nafikiri ni DAMU ya group O kama sikosei sijui kama inakwenda pamoja na mambo ya rhesus chanya au hasi?.
 
Mkuu je ukiwa na ugonjwa wa kisukari type B bila ya kujijua, kidonda kikichukua muda kupona si utakufa kwa kihoro, ukifikiri una UKIMWI!!
 
Wewe una roho mbaya na unaweza kuua mtu na mikono yako, umenitia hasira ningekuzabua mabao.

Ulizani unaukwimwi na lazima ulikuwa na furaha ya kulala peku bila wao kujua kuwa ulikuwa unazani una ukimwi. Je ungekuwa nao sasa hivi ungejisikiaje?

Uliishije ukijua unala na wanawake wa watu bila condom na ulivyozani una ukimwi.

Ukimwi hata kwa madaktari wa meno na hosp unaweza upata, kushare nyembe pia etc so ukae uombe Mungu. Labda huyo binti wa sasa ndie anae majibu ya kutaka haribia watu makusudi kuwapa magonjwa.

Pima tena baada ya miezi 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…