My confession: Nilimla denda demu wa rafiki yangu

Hakuna cha ulevi wala nini ni kujiendekeza tu ni sawa na mtu anakuja kukutukana huku amelewa alafu kesho anakuja oooh samahani bwana unajua jana ni pombe tu zile hana lolote uyo alidhamiria kukutukana
Jamaa akilewa pombe zinakimbilia chini badala kulewa akili....ulevi nooooma!
 
Leo ndio nimejua kwanini unanikwepa, hufai katika jamii na mbele za Mungu wewe kiumbe, subiri utantambua
 
Sema msemavyo ila mchovya asali hachovi mara moja. Kama ujafanya kitu, utafanya tu hata baadae, tusidanganyane. Uliyataka mwenyewe. Hongera kwa ujasiri wako wa kuyakimbilia madhila.
 
nadhan ndo cha maana mhuska alitaka ku2julisha kuwa alipanda ndege.

ndege bongo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!je akipanda KLM au DELTA??????????????????????
 
Tatizo lililopelekea kufanya hivyo ni kupanda ndege ama kunywa bia?
Tutegemee matukio haya ukikwea pipa ama hata bia za mwananyamala zinakulandua?

kupanda ndege..yaani huyu maenelzo yote hayo alitaka kusema nimepanda ndege na kula denda nikiwa angani basi..hana kingine
 

hiyo niliyo bold najaribu kucheki na airlines zote kama wana rooute ya hivo ..maana sijawahi kuona mimi..yaani unakuja dar kwanza halafu unaenda mwanza halafundo unakuja dar tena..khaaaa
 

ulevi noma.:lol:
 
Inaonekana msemo wa ulevi noma bado hujauelewa mkuu.
 
Mweleze jamaa yako kilichotokea kwanzia bia ya kwanza.... Mpaka vikonyezo na vitekenyo anavyokufanyia sasa na hakika itamsaidia kama sio sasa hata baadae, ila na wewe ***** sana si ungekula mzigo kabisa. Wanasema "If u want to make a mistake make the big one"
 
Hio ndege nayo micharuko kweli yani inapita Dar mza then Dar? Na unatoka tabora? Sasa hapa sijui ulikuwa unaenda wapi bro, hongera kwa kupiga denda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…