My Boyfriend Answered the Phone During Sex!!

My Boyfriend Answered the Phone During Sex!!

Hivi kwa nini mtu afanye plagiarism katika post kama hii?

Ina maana anakuwa hajui kwamba hapa ninachofanya ni plagiarism au anajua na kufanya kwa kupenda tu akifikiri watu hawatamjua?

Wakati kuna wataalam hapa wanaangalia maandishi tu red flags zinapanda. Kuna watu hata Kiranga akija na jina jipya kesho watakwambia huyu mzee wa Mkuranga tunamjua anavyoandika.

Yani ushaona watu hatujui Slate ni nini wakati tunapata mpaka "The Slatest" kwenye email alerts?
 
Kabla ya kusoma link iliyotolewa yaani wakati nasoma nilishutuka sana, maana sikuamini kama vijana wa Kitanzania wamefikia hali ya kuwakosea adabu mama zao kiasi hiki.
 
ungejua jinsi nilivyopata tabu kukipata hiki kizungu nilichotumia kusoma hiyo copy-paste yako wallah usingenichosha.
 
My boyfriend of one year and I are both recently graduated twentysomethings living at home like true millennials. While this has caused a few bumps in our love life, his mother is very open, liberal and allows me to spend the night at their house with him. Usually his mother gives us plenty of space, except for insisting on making us coffee and breakfast some mornings. The other day as we were being intimate, hismother called him on his cellphone. She often calls even when she knows we’re in the house so as not to barge in. This time, he answered the phone and continued to have sex with me as he talked to her. I was livid and disturbed, not to mention feeling cheap in a very Oedipal way. We talked it over at length and he recognized that it was inappropriate and immature, and he apologized. But I can't help feeling that this should send a self-respecting young woman packing and running.

please advise!!

There is your answer. After all he is just a boyfriend. If he was a fiancee, I would rethink my advice.
 
tabia ya copy and paste bila kuacknowldege source ni mbaya
 
Mwddie shenzi sana ww, ha ha ha kakamatwaaaa! Nilipoisoma nikajisemea kimoyomoyo, hii mbona haijakaa kikwetukwetu, siwezi hata comment maana nisijejikuta nipo ulimwengu wa pekeyangu, kumbe mwizi! Pumbaaaaafu kabisa.
 
Back
Top Bottom