lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,111
Hahahahah muke ya muafrika ndo mpango mzima,unamsifia ujinga 2 ka yeye mwanamke kweli atafute mawe peke yake....ameharibu mabinti wengi kwa mtazamo wake hasi... kopakopa united 2
Hahahaaaaaaaaaaaaaa!!!!! Muke ya MUAFRICA unanivunja mbavu zangu!!!!!!!! Nimegombezwa na Bosi mda si mda sasa ananiona Nacheka kwa Herufi Kubwa hapa hachelewi kuniona namcheka yeye!!!!!!!!!!
Back to Topic!!!!! Mi mbona Sijamsifia, mi nachosema bidada HAJAANZISHA TREND YA KUDATE WAZUNGU!!!!!!! Haya mambo yapo kitambo tangu enzi za UBAHARIA!!!!!!!!! Tena yanapungua saivi ujue! Kwa hiyo usimpe mtu sifa asiyostaili.
Muke ya Muafrika umenifurahisha sanaaaaa!!!!! Mpaka sasa bado nacheka!!!!!!!!!