My best Friend kwa wazungu

Hahahahah muke ya muafrika ndo mpango mzima,unamsifia ujinga 2 ka yeye mwanamke kweli atafute mawe peke yake....ameharibu mabinti wengi kwa mtazamo wake hasi... kopakopa united 2

Hahahaaaaaaaaaaaaaa!!!!! Muke ya MUAFRICA unanivunja mbavu zangu!!!!!!!! Nimegombezwa na Bosi mda si mda sasa ananiona Nacheka kwa Herufi Kubwa hapa hachelewi kuniona namcheka yeye!!!!!!!!!!

Back to Topic!!!!! Mi mbona Sijamsifia, mi nachosema bidada HAJAANZISHA TREND YA KUDATE WAZUNGU!!!!!!! Haya mambo yapo kitambo tangu enzi za UBAHARIA!!!!!!!!! Tena yanapungua saivi ujue! Kwa hiyo usimpe mtu sifa asiyostaili.

Muke ya Muafrika umenifurahisha sanaaaaa!!!!! Mpaka sasa bado nacheka!!!!!!!!!
 
We cheka 2! Sawa hajaianzisha yeye,ila ameistimulate hata blog yake anaandika post za kuwasifu wadhungu na kuwaponda waafrica so yy ka mtu anayetazamwa na mabinti wengi wanaochipukia na wenye upeo mdogo anawapotosha kwakuwafanya wategemee maisha mteremko while wakiudharau uafrica na kuutukuza uzungu,kwenye malovee na hustling race haina nafac ni jinsi mtu anavyostrugle kuweka mambo sawa.....

Natamani ningekuwa huyo bosi wako!!
 
Hahaaaaaaa! I THOUGHT LOVE HAS NO COLOUR!!!!!!! Muke ya Muafrica bana naona History ya COLONIALISM na NEO COLONIALISM zimekukolea kweli!!!!!!!

Dont be RACIAL banaa, Wazungu pia watu! Mtu atoke na mtu anempenda yeye DESPITE THE COLOUR FACTOR!!!!!!! Thats true INDEPENDENCE!!!!!!!!!
 
Wana MMU habari zenu,Nina rafiki yangu wakike kipenzi tatizo lake anapenda boyfriends wa kizungu ambao wanaishia kumla tunda na kumuacha tu keshatembea na kama nane nnaowajua.Alikua na Bf mwenye malengo na Career nzuri wameshindwana afta kumkuta na mzungu katika pozi lisilo eleweka!!! kiukwel n dada mzur rafiki mzur ila nashindwa kumshaur nahisi ataona namuonea wivu kupata wazungu ambao huwa wanamtoa na kumpa vitu vidogodogo kwan amekua na tabia yakusema watu wanamuonea wivu.Nampenda sana nisaidieni nimshauri vipi huyu best

Unamuonea wivu je...angekuwa anatoka na weusi ungemind?!
 
Na ndicho nachosema miye,mtu ka anapenda white color its fine ila asidis blac wetu mbona easy....
Hahaaaaaaa! I THOUGHT LOVE HAS NO COLOUR!!!!!!! Muke ya Muafrica bana naona History ya COLONIALISM na NEO COLONIALISM zimekukolea kweli!!!!!!!

Dont be RACIAL banaa, Wazungu pia watu! Mtu atoke na mtu anempenda yeye DESPITE THE COLOUR FACTOR!!!!!!! Thats true INDEPENDENCE!!!!!!!!!
 
Pilipili ya shamba yakuwashia nini?
Wanane unaona wengi sasa???

Ndege wafananao huruka pamoja.
 
Embu mwache Bidada aende places she NEVER DREAMED OF!!!!!!!!!!! Aaaaaaah! Maisha ni Kuchagua!!!!!! Chagua kujiachia na walioanzisha CIVILIZATION!!!!!!!!

Tuacheni masihara Wazungu wanahonga jamaniii, haswaaa wale wazungu ORIGINAL!!!!!!! Kuna dada mmoja alikuwa mhudumu hoteli tu, kweli Mungu si Lara 1 kampata Mdutch mmoja engineer wa nini sijui! Alipo kimaisha sasaivi huyo dada, i can never dare to dream kumfikia!!!!! Kamjengea compound ina apartments kama zaidi ya 30 masaki huko, moja tu dollar 3500 kwa mwezi!!!!!!!!! Kodi tu keshatoka kimaisha acha investment zingine ambazo sizijui!!!!!!

Wazungu hawa bwana Ukiwafuma mali sanaaa, tatizo lao Unene hawautaki, manake huyo dada kamaintain 50Kg zaidi ya 5 years!!!!!! Hali kabisaaa, si adhabu sasa hiyo!

Ila pia kuna black nomaaaaaa!!!!! Kama Jesca mamaaa MSD! Mambo yake zaidi ya wazungu 20!!!! Maisha bahati jamani, iwe na mzungu au black!!!!!!!! Watu na bahati zao!!!!! Ngoja nifanye kazi ya kujenga taifa mie manake Majungu si Mtaji!!!!!!!!!!
duuuuuuuuuuh kumbe itabidi sister zangu niwatafutie wazungu au nikishindwa nitakuomba lara 1 unisadie bila shaka tutauaga umaskini wetu
 
Wana MMU habari zenu,Nina rafiki yangu wakike kipenzi tatizo lake anapenda boyfriends wa kizungu ambao wanaishia kumla tunda na kumuacha tu keshatembea na kama nane nnaowajua.Alikua na Bf mwenye malengo na Career nzuri wameshindwana afta kumkuta na mzungu katika pozi lisilo eleweka!!! kiukwel n dada mzur rafiki mzur ila nashindwa kumshaur nahisi ataona namuonea wivu kupata wazungu ambao huwa wanamtoa na kumpa vitu vidogodogo kwan amekua na tabia yakusema watu wanamuonea wivu.Nampenda sana nisaidieni nimshauri vipi huyu best
Aache kujifanya mzungu .hakuna kitu kibaya kwa mzungu Kama mwafrika kujifanya mzungu.fake hair (bug turn off) kujichubua. Fake sex , friends ( wazungu wako very suspicious ,.spending ( I spent my hubby money cause I have money too tangia mtoto Mimi na spend mume wangu Alijua hayo )lakini Kama wewe very poor unajaribu kuwa rich kwa mzungu utaumbukaaa.fake accent big no, .fake accomplishment ili tu ukubalike
 
subirini mhongwe

Embu mwache Bidada aende places she NEVER DREAMED OF!!!!!!!!!!! Aaaaaaah! Maisha ni Kuchagua!!!!!! Chagua kujiachia na walioanzisha CIVILIZATION!!!!!!!!

Tuacheni masihara Wazungu wanahonga jamaniii, haswaaa wale wazungu ORIGINAL!!!!!!! Kuna dada mmoja alikuwa mhudumu hoteli tu, kweli Mungu si Lara 1 kampata Mdutch mmoja engineer wa nini sijui! Alipo kimaisha sasaivi huyo dada, i can never dare to dream kumfikia!!!!! Kamjengea compound ina apartments kama zaidi ya 30 masaki huko, moja tu dollar 3500 kwa mwezi!!!!!!!!! Kodi tu keshatoka kimaisha acha investment zingine ambazo sizijui!!!!!!

Wazungu hawa bwana Ukiwafuma mali sanaaa, tatizo lao Unene hawautaki, manake huyo dada kamaintain 50Kg zaidi ya 5 years!!!!!! Hali kabisaaa, si adhabu sasa hiyo!

Ila pia kuna black nomaaaaaa!!!!! Kama Jesca mamaaa MSD! Mambo yake zaidi ya wazungu 20!!!! Maisha bahati jamani, iwe na mzungu au black!!!!!!!! Watu na bahati zao!!!!! Ngoja nifanye kazi ya kujenga taifa mie manake Majungu si Mtaji!!!!!!!!!!
 
Aache kujifanya mzungu .hakuna kitu kibaya kwa mzungu Kama mwafrika kujifanya mzungu.fake hair (bug turn off) kujichubua. Fake sex , friends ( wazungu wako very suspicious ,.spending ( I spent my hubby money cause I have money too tangia mtoto Mimi na spend mume wangu Alijua hayo )lakini Kama wewe very poor unajaribu kuwa rich kwa mzungu utaumbukaaa.fake accent big no, .fake accomplishment ili tu ukubalike

Kongosho kuja hapa
hivi mnakumbuka zamani watoto wanavalishwa kiunoni uzi mweusi na kitu kama kishilingi kilichotobolewa katikati sijui ni dawa ya kiuno hata sielewi
ye mwenzetu ytcoon natalia alikuwa anavalishwa madollar
nyie mlikuwa mnavalishwa shanga kiunoni utoto mwenu mwenzenu Natalia alikuwa anavalishwa shanga za madiamonds na matanzanite
aiseee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom