My baby is strange

heee u r in trouble!sasa go back mtongoze na umchunguze tartiibu ,unawajua ndugu zake? ulimpata kwa njia gani.oh anzia kwenye mizizi otherwise soon yatakukuta,esp ukichepuka
 
Nenda kwenye threads za Pasco kule jamii intelijensi utapata majibu.
 
Last edited by a moderator:
heee u r in trouble!sasa go back mtongoze na umchunguze tartiibu ,unawajua ndugu zake? ulimpata kwa njia gani.oh anzia kwenye mizizi otherwise soon yatakukuta,esp ukichepuka

Tumekutana mkoani katika mishemishe tu, yeye wa dar mimi arusha, cna ndugu yake ninaemjua!
 
poa umeamua kuniandikia thread sawa TUTAONANA USIKU

UMEVUNJA SHARTI KUBWA SANA
 
Huyo JINIiiiii...hadi anajua unachowaza?thats beyond technology
 
umesema???kwahiyo hiyo spyware inaona hadi mawazo ya moyoni duuh hatare!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…