My baby is strange

Kwanini mmemuwazia negative tu?
kama amejaaliwa roho mtakatifu ndani yake anapata maono?
 
Spyware.She is stalking you ,amenunua spyware card ame install Kwenye Simu yako kwa hiyo anachofanya anaingia Kwenye website ya hiyo spyware anaona kila kitu Simu ,text message ,email na picha na GPS .Google spyware utaona company zote .mie nawafanyia wanangu I know everything

Spyware inajua hadi mtu anachowaza?
 
Roho mtakatifu au roto mtakamtu?

Kwa Imani, kuna kitu unabii
manabii huwa wanauwezo wa kujua mambo yanayojiri kama inavotokea kwako
kuna dada mmoja ni mke wa nabii kipindi cha uchumba nae alikuwa na hofu juu ya huyo mwaname wake(nabii)
Kwasababu ya mambo kama hayo....
mdada hajaaga ila jamaa anamfata hadi alipo, kama anatafuta kitu basi nabii anapiga simu anamwambia unachotafuta kipo sehemu flani ( bila hata kuulizwa)mdada ful wasiwasi anadhani wanaume wake ni jini....
hivo usiconclude mjue ye ni nani kati ya hivo viwili
 
Atakuwa alien huyo...usiwaze sana huyo ndio mzur coz anakupenda sana ndio maana anakufuatilia kila kitu.
 
Kwa Imani, kuna kitu unabii
manabii huwa wanauwezo wa kujua mambo yanayojiri kama inavotokea kwako
kuna dada mmoja ni mke wa nabii kipindi cha uchumba nae alikuwa na hofu juu ya huyo mwaname wake(nabii)
Kwasababu ya mambo kama hayo....
mdada hajaaga ila jamaa anamfata hadi alipo, kama anatafuta kitu basi nabii anapiga simu anamwambia unachotafuta kipo sehemu flani ( bila hata kuulizwa)mdada ful wasiwasi anadhani wanaume wake ni jini....
hivo usiconclude mjue ye ni nani kati ya hivo viwili

Nabii asie na dini?
 
Do you have that installed in your gadgets for Dr. Rutherford?
We have the same account Verizon .unajua data usage bill inakuwa juu nikiweka ila I trust my hubby Halafu atagundua unajua Simu Ina lights up sometimes akinistukia kwishney
 
afadhali
maana tushaanza kuwaza uchawi
Spyware.She is stalking you
,amenunua spyware card ame install Kwenye Simu yako kwa hiyo
anachofanya anaingia Kwenye website ya hiyo spyware anaona kila kitu
Simu ,text message ,email na picha na GPS .Google spyware utaona
company zote .mie nawafanyia wanangu I know everything
 
huyo atakuwa jini bhana. Yaani ajue yote hayo wakati hauko nae

Wewe spyware website nunua software .sio Lazima Uwe na Simu ya Huyo mtu unaweza tumia remote ku activate au hiyo website inamtumia message akifungua tu unapata access .
 
Back
Top Bottom