Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,669
- 167,713
Basi ndugu zake watakuwa wapo bahari ya hindi jitahidiTumekutana mkoani katika mishemishe tu, yeye wa dar mimi arusha, cna ndugu yake ninaemjua!
uwajur mashemeji na mawifi zako
Basi ndugu zake watakuwa wapo bahari ya hindi jitahidiTumekutana mkoani katika mishemishe tu, yeye wa dar mimi arusha, cna ndugu yake ninaemjua!
Tulikutana mkoa flani hvi huku upande wa kusini, tuna kama miezi mitatu kwenye mahusiano.
hajahahhah
mkuuu hii stor nimeisikia zamani
Basi ndugu zake watakuwa wapo bahari ya hindi jitahidi
uwajur mashemeji na mawifi zako
Sa ndo wamemtuma aje kunichukua?
Wewe spyware website nunua software .sio Lazima Uwe na Simu ya Huyo mtu unaweza tumia remote ku activate au hiyo website inamtumia message akifungua tu unapata access .
I have decided to use that name cuz of some sweet feelings of love kwake and sometimes namchukulia kama mtoto the way navomcare!
Anyway, thats nt big problem, she makes me crazzy na utu uzima wangu, she used to knw nachofanya hata nikiwa mbali nae, anajua alienipigia, simu iko mezani lakini anauliza "aliekupigia simu namba yake inaishia na 50120 e?" Namwuliza umejuaje anaishia kuchekacheka tu, yuko nyumbani ananiambia "naona uko mjini bhana na hatuambiani" Kumbuka cjamuaga! And it had happened several times! Atafanya vimbwenga, nachukua uamuzi wa kumwacha, akipiga tu najikuta sina msimamo (na sio kawaida yangu). She is strange! Nawaza kumwacha kimyakimya, ananipigia, "hey hubby kwa nin unaniwazia mawazo mabaya hivyo? Haki ya mungu ukiniacha utanitambua!" mamaaa, what kind of chick is this?
Nina wasiwasi nikawa miongoni mwa waliopata historia.
Hakuna kiumbe mwenye uwezo wa kujua anachowazo kiumbe mwingine.
Hizo ni hadithi tu.
Uko na jini cha mtemakuni utakiona.