elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,743
1.Yote maisha - madee ft pfunk. Hii ngoma uwa nikiisikiliza ina nitouch sana. Inanikumbusha 2007 ambapo Pfunk alikuwa on the peak before hajashuka na madee akiwa madee kweli. Meseji na beat vyote vina hisia.
2. Alikufa kwa ngoma- Mwana F.a ft Jaydee. Hii ni kati ya ngoma ambazo pia alitengeneza majani. always collabo za f.a na jaydee zilikuwa hatari sijui shetani gani aliingia hapo kati akawagombanisha lakini hii ngoma kwangu mpaka leo siichoki. Napenda flow na uandishi wa F.a wa zamani.
3. Hayakuwa mapenzi- Sugu. Hii ngoma napenda ujumbe na flow za sugu humu ndani. Kusema ukweli ni ngoma chache sana za sugu nazozikubari coz uwa sio mpenzi wa style yake lakini humu alinibamba sana.
4. Niaje - mandojo na domokaya ft Jnature. Huu mkono wa Mika Mwamba. Melody vocal na lyrics za wote walioshiriki uwa zinanifanya nisichoke sikiliza huu wimbo.
5. Nenda - 3D (Mandojo domokaya and squeezer). Mkono wa Ramar kipindi yuko on the peak. Hii ngoma naikubari mpaka kesho kwa kila kitu.
6. Tambara - hardmad ft.... aliye mshirikisha ni mdada jina silijui lakini ni kati ya ngoma kali sana ambazo mpaka leo naweza sikiliza. Kama kawaida Mika mwamba ndiye kaipika.
7. Changa la macho - Ay ft GK. Hii ngoma kaisuka marehemu complex RIP. Flow za ay za ktambo na gwamaka zitakufanya uhitaji ku i replay.
8. Tutakukumbuka - GK ft tid. Hii ngoma kaitengeneza Ludigo akiwa MJ records, enzi za kamanda gk. Ni ngoma ambayo nikiiskiliza inanikumbusha kumrudia Mola.
9. Wauguzi - Ngoma ya wagosi wa kaya. Nadhani itakuwa Mj records. Sijui kwanini uwa naipenda ila i just love it.
10. Nyalu land - Mike Tee ft jaydee. Aisee hii ngoma kaitengeneza Master J, ngoma zote alizowahi kushirilishwa jaydee zilikuwa hot. Na ole flow ya kunata ya mike Tee na maneno yake ya kinyaru hunifanya nisiichoke hii ngoma.
11. Mabinti dam dam- F.A. hii ngoma ngaitengeza Bon Love, again F.A wa zamani nilikuwa napenda flow yake na uandishi wake wa kifalsafa.
12. Tuliza boli - F.A ft stara Thomas. Hapa sitii neno maana F.A wa zamani.
13. Binamu - F.A. nadhani hii ndiyo ngoma ya mwisho kumkubari sana F.a. siku hizi namkubari kawaida. Mpishi wa hii ngoma ni Marco chali kipindi bado yuko kama kawa records.
14. Handsome - Dully sykes. Huu mkono wa Pfunk. Huu wimbo unanikumbusha enzi hizo kiukweli i just love the beat and te flow of dully kwenye hii ngoma nothing else and the memories labda.
15. Yatima hadekezwi - ...ft squeezer. Mwenye wimbo nimemsahau ila ni ngoma moja ina ujumbe mkali sana.
Remember those dem days kabla ya nigerian genre na kwaito kuvamia bongo fleva