My all time best bongo fleva list

My all time best bongo fleva list

Mm ngoma za enzi hizo nazozikubali ni
1:mtoto idd, ubinadamu kazi,na sonia hizi zote ni za sir nature kiroboto a.k.a kibra

2:stori tatu ___nyimbo ya jay mo
3:ice cream __nyimbo ya noorah
4:latifa__ nyimbo ya mb dogg
5:zari la mentali __prof j vs nature
6:nampenda yeye__mh temba
vs dully
7:nyammizi,salome,___dully sykes
8:mapozi__mr blue bayser
9:zeze na girlfriend ___t.I.d mnyama
10:niko busy ya jmo
Niko Bize ya Jaffarai ft Daz Baba
 
King crazy gk--sauti ya manka

East coast team--hii leo

Joslin--niite basi

Nature--mugambo

Solo thang--homa dunia

Dudubaya aka Mamba--cheka kidogo

Nature ft inspekta--mzee wa busara...
 
nakuhitaji Caz T na maimartha,Tamika by dully,sikiliza,she got gwan na nyingi za ngwair,
piga makofi ProfJ na sos T,Siamini TID,
Hii leooo from East Coast!
Hii raha kamili Ay na Rayc
Safi hiyo East coast,banana na rayc
na nyingine nyingi za zamani
 
1.Bongo Dar es salaam-Prof Jay ni kali kila kitu,mdundo,mashairi,na flow ya jay ni hatari.
2.Hii leo-East Coast family-ni kali kila kitu
3.Mtazamo-Prof Jay,Afande, Solo Thang-Boooonge la collabo la muda wote.
4.Mikasi-Wimbo bora wa kupati wa muda wote,mdundo bora ajabu
5.Chemsha bongo-Prof Jay-Mafundisho yake huwezi kuyapata chuo chochote.
6.Tamaa mbaya-20%-Wimbo wa Taifa 2010/2011.
 
Mi ya kwangu ni hii

1.Zali la Mentali-proff jay ft. Juma nature
2.Mtazamo-Afabde sele ft Solo thang n prof jay
3.Mwana Fa - Alikufa kwa Ngoma
4.Tathmini-prof jay ft. Jay moe
5.Mwana Fa ft jay moe-Ingekua vipi
6.Mchizi wangu-Nako 2 nako soldiers
7.Lady jay dee-machozi
8.Mr.Blue -Tabasamu ft. Steve rnb
9.Afande Sele-Darubini Kali
 
Ngoma zilizotamba kwangu ni hizi.
1. Mtoto wa geti kali-ispector Haroon
2. Mtazamo- Afande Sele
3. Chemsha bongo- HBC
4. Pengo
5. T-Shirt na jeans- university corner
6. Mic
 
Ratiba zetu-- sna lee ft ngwair
Dakika moja--ngwair ft noorah
Ndio zetu--n2n
kipi dhambi--father nelly r.i.p
Hili game--nature
fahari yako--mr ebbo ft mwana f.a
Wameiba pombe--noorah
jinsi tulivyo--manyema family
naposimama-langa ft chidi
mume wa mtu--dataz
Wema wangu--ferooz
Elimu dunia -- daz baba
msafiri--domokaya ft jos mtambo
binadamu--a.y ft maurice kirya
Milima--dem jina memsahau ila koras aliimba nature
Kisa cha baba mkwe- inspecta harun
simulizi za ufasaha--gangwe mobb
Kwenye chati--balozi
Sina muda-hard mad ft fid q
machozi ya furaha-jaydee
Kifungoni-lady jaydee
Hata mkisema--dataz ft ray c
kipusa-bwana misosi
Tunda special-muumini
Geti kali 1&2--inspekta
kombora--bob haisa
kiasi--juakali
 
nakuhitaji Caz T na maimartha,Tamika by dully,sikiliza,she got gwan na nyingi za ngwair,
piga makofi ProfJ na sos T,Siamini TID,
Hii leooo from East Coast!
Hii raha kamili Ay na Rayc
Safi hiyo East coast,banana na rayc
na nyingine nyingi za zamani
Nakuhitaji ilikuwa ya Caz T na Sara kipingu

Binamu list yako nimeielewa hahaha
 
Nakuhitaji ilikuwa ya Caz T na Sara kipingu

Binamu list yako nimeielewa hahaha
sawaaa nshakumbuka kweli Caz t ña Sarah then penzi la ndoa ndo Caz t n maimartha

Binamu hzo nyimbo nshaibiwa flash na CD's zote kila nkiburn yani mana Mtu akija akiskia kesho siikuti!!
Mi sa hv naona wanabana pua tu!
Siwaelewi hata kidogo!
 
Back
Top Bottom