My All JF Dearest Ladies and Gents

nipashe una taarifa wewe....hawakukosea kukupa hilo jina....unaonaje tukianza hiyo harammbee? toa albamu basi tupate hela ya kumkomboa!!
ni stori ndefu sana, la kushkuru walimbakisha na bukta, hawakumvua nguo zote. majeshi ya boda la zimbabwe yana hasira sana. usiombe
 
hivi kumbe anagawa huo upremium member???mi siutaki bana....napenda cheo cha sasa.....l.o.l
sio anagawa , mpaka nikuombee mimi. hivi nyinyi mnapitia sheria za JF au mnapost tu? mnapaswa kujua vyeo vyetu kabla kujiunga
 
wakuu natoka kidogo, nina press conference. nitarejea baada ya 2 hrs. mnaweza mkayafile matatizo yenu nikilejea nitaweka sawa kila kitu.

asanteni kwa ushirikiano
 
Ahsante CPU.
nakukubali sana mtu wangu.
 
yaani kila nikikumbuka ule umri wako nakuwa naongeza spidi ya kuquote post zako. dah!
Yani Kloro unadata na namba tu??Ningejua ningekwambia mapema kabla hujamaliza mshahara!
 
Mmmhhh kumbe ninja wangu bado ana piga
Kumfuu kuliko jek chen lol
sante my dear CPU..
naenda kulala sasa
Mpaka kipenziwe aniamshe..:usa2:
 
Mmmhhh kumbe ninja wangu bado ana piga
Kumfuu kuliko jek chen lol
sante my dear CPU..
naenda kulala sasa
Mpaka kipenziwe aniamshe..:usa2:
Karibu mpnz...sisi hutujali ehh?
 
Kwakweli CPU waraka wako unamaneno mazito kweli,haya nimekubali.Itabidi nikutafutie monitor,mouse na keyboard.
 
Kila mtu mtamu kwa mwenzake na ndiyo maana mchango wowote wa mawazo una thamani kubwa na unaweza kuwa msaada kwa wengine nashukuru sana sipiyuu kuwepo kwenye list yako
 
Wewe Kwinini unaenda wapi, unaona nimerudi ndo unaondoka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…