My All JF Dearest Ladies and Gents

Anatibu kila kitu dearest!Siku nikienda kumsalimia nikupe lifti?

yaani Lizzy natamani niende hata sasa,nipitie dearest.....wapanga kwenda lini?niko serious,sitanii dearest wangu.....:rain:
 
yaani Lizzy natamani niende hata sasa,nipitie dearest.....wapanga kwenda lini?niko serious,sitanii dearest wangu.....:rain:
Mi mpaka apunguze ukali dearest!Nimesikia kina PJ wanaandaa safari kwa wanaJF!Embu mpiemu akwambie inakuaje!
 
We kuachiwa usimamie hiyo cafe ya mjomba wako ndo ishakua tabu!

yaani....na huo ushalobaro wake mabinti wa sekondari hawana raha....kila saa mapouda ili mradi watoto wa Kawambwa washoboke....hiyo cafe itakumaliza Kloro.....think Kloro think!!!!
 
Mi mpaka apunguze ukali dearest!Nimesikia kina PJ wanaandaa safari kwa wanaJF!Embu mpiemu akwambie inakuaje!

wao wanaenda leo...mimi siwezi leo bwana na nauli sina.....ukali atapunguza lini?? dawa ikiisha je?
 
hashy wamemdaka border la zimbabwe alikuwa anapapatua kuingia sauzi. anahitaji harambee ya nguvu ili wamwachie

nipashe una taarifa wewe....hawakukosea kukupa hilo jina....unaonaje tukianza hiyo harammbee? toa albamu basi tupate hela ya kumkomboa!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom