Mwongozo wana JF please

Mganga wa Jadi

JF-Expert Member
Mar 12, 2008
280
51
Wakati kasi ya uingizaji magari nchini ikiongezeka na namba za usajili zinaenda pia kwa kasi hiyohiyo;Mimi ni mwana mageuzi sasa nawaza hapo mwaka 2015 nategemea kununua gari yangu, je iwapo namba za usajili zitakuwa zimefikia CCM alafu nikatakiwa kupewa namba ya usajili mfano:T 100 CCM;nifanyeje? Je kuna uwezekano wa kuomba special number?Na hizi namba haziwezi kutumiwa na wenzetu kama mtaji wa kisiasa? Au tuombe TRA waziruke?

Watapaswa kuziruka, niliwahi kuhojiana na bosi mmoja anayehusika na TRA akanambia maneno yoyote yanayoelekea kuhamasisha msimamo wowote wa kihitikadi huwa wanayaacha. Jiulize mgombea uraisi au ubunge CCM 2015 apate namba T 2015 CDM unadhani watakubali? au T 2015 UDP itawezekana kweli?

Wakati kasi ya uingizaji magari nchini ikiongezeka na namba za usajili zinaenda pia kwa kasi hiyohiyo.
Mimi ni mwana mageuzi sasa nawaza hapo mwaka 2015 nategemea kununua gari yangu, je iwapo namba za usajili zitakuwa
zimefikia CCM alafu nikatakiwa kupewa namba ya usajili mfano:  T 100 CCM  nifanyeje? Je kuna uwezekano wa kuomba special number?
Na hizi namba haziwezi kutumiwa na wenzetu kama mtaji wa kisiasa? Au tuombe TRA waziruke?

Hilo wala si jambo la kujali kwa vile kila mtu atajua kwamba ni series tu ya namba na haitokuwa na madhala yoyote. Hata hivyo kutakuwa na namba kama T100 CDM ambazo zitapoza gadhabu za wanamageuzi.

Mganga wa Jadi umefikiria sana kabla hujauuliza hili swali, wengi wetu hatujajiuliza hili, hawa jamaa zetu wa chama twa-wala wana weza sana kuzitumia sana hizi namba kama mtaji wa kisiasa. Sipati picha kama mh Mbowe awe na gari namba T 123 CCM hapo sijui itakuwaje . Nadhani kuna ulazima wa TRA kuruka hizo namba ili zisijeleta utata.

Ni vizuri hili swala likatazamwa kwa umakini, lisijekuwa kikwazo kwa watu wengine!

naona hawataruka mimi nimewai kuuziwa gari na mwislamu eti anauza kisa lina namba T 363 ATN-ATN aliifananisha na ile agape televition network

Mimi sidhani kama namba za magari zina tatizo lolote..........mtanzania wa kawaida wala hatoliona hilo

Back
Top Bottom