de98
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 737
- 760
MD ina competition pote hata UDOM hawezi pata labada competition ikiwa sio kubwa watamchukuaUnataka ushauriwe mara ngapi ndugu???
Tumia akili ya kawaida tu, PCB karibu wote Tanzania huwa ndoto yao kusoma MD (tena ya MUHAS).
Sasa hebu imagine PCB walipata Points 3 (kuanzia dogo T.O alietokea Mzumbe), uje wenye points 4, 5 za kumwaga, 6, 7 wote wachaguliwe waishe... Unategemea huyo wa point 9 ataambulia kitu hapo????
Size yake ni UDOM tu, MUHAS asahau kabisa. Ni sawa na PCM mwenye point 8 kuomba Petroleum ya UDSM. Holla!!!