Naomba kufahamishwa wapi vinapatikana vifaa vya kujenga banda la greenhouse kwa bei nafuu. Pia nina hitaji la kuandaa project ya ukubwa wa robo acre.
Ninaomba kama naweza kusaidiwa kujua gharama za kuanzisha na kuendesha mradi. Lengo ni kufanya shughuli hii katika maeneo jirani na jiji la Dar es Salaam kwa sababu ya mahitaji na uhakika wa soko.
Natanguliza shukrani. Naomba michango yenu katika njia za kuendea wazo hili
Habari wadau?
Naomba kufahamishwa wapi vinapatikana vifaa vya kujenga banda la greenhouse kwa bei nafuu.
Pia nina hitaji la kuandaa project ya ukubwa wa robo acre. Ninaomba kama naweza kusaidiwa kujua gharama za kuanzisha
Vifaa vya kitalu nyumba vipo na vinapatikana hata hapo Dar na mafundi pia, kuna ukubwa tofauti ambao una gharama tofauti za kitalu nyumba mfano 8mx15,8mx30m nk nk... Unaweza kunipm kwa msaada na kazi mkuu, karibu