Ninavyofahamu katika sheria za Halmashauri na Manispaa zetu ipo sheria inayozuia sauti za namna ambazo zinakoseha utulivu sehemu za makazi na webgine wanaita "sound pollution". Hata madisko yanawekewa taratibu za kupiga miziki yao. Hili ni suala ambalo Halmashauri na Manispaa wanaweza kulishughulikia.
nimependa hoja yako lakini niongezee na hili la watu kubadili matumizi na kuweka bar . Makelele usiku mzima kwa wale tunao kaa sinza kila mtaa una bar na wanakesha. Usiku maeneo ya afrika sana sinza watu wanapiga kelele usiku kucha ni makazi ya watu lakini makahaba wamebadili matumiziwana jf,
habari za leo hii,
kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza juu ya suala hili la matumizi ya loud speakers kwenye nyumba za ibada (makanisa na misikiti) yaliyoko katikati ya makazi ya watu. Hivi kuna sheria yoyote au mwongozo unaolekekeza juu ya hili? I beg to remain neutral kwa hili.
Utakuta mtu kajinunulia residentian plot anaweka nguzo nne, turubai juu annazisha kanisa (hapa amebadilisha matumizi), halafu anakesha mwenyewe na familia yake huku akiwa amefungulia spika hadi mwisho usiku kucha! Au msikiti uko katikati ya makazi ya watu asubuhi na mapema baada kuwaamsha watu kwa adhana, wanaendelea kuomba kwenye loud speakers bika kujali kuwa wamezungukwa na waumuni wa imani nyingine ambao hawahitaji kuamshwa kwa sauti za maombi/sala zinazofanyika makanisani au misikitini!
Kwa kweli najiuliza sana hivi hakuna mwongozo juu ya hilli katika nchi yetu yenye utulivu wa kiimani?
Naomba tujadili hili ila kama kuna mwongozo basi tupate mwangaza namna ya kuwasukuma watawala/viongozi wetu kuchukua hatua stahiki, au kama mwongozo hakuna basi tuone namna ya kunzisha machakato wa kurekebisha hili.
Ikizingatiwa kuwa katika katiba ya nchi
na. 19.-(1) kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, imani na uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa mtu kubadilisha dini au imani yake.(2) bila ya kuathiri sheria zinazohusika za jamhuri ya muungano, kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza
dini itakuwa ni huru na jambo la hiari ya mtu ya binafsi, na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya nchi.
Kwa tafsiri yangu katika neno "huru" haimaanishi kiholela, matakwa na uhuru wa mtu mwingine haupaswi kuingiliwa kwa shughuli huru za kidini, ndio maana tunaelekezwa kuwa, kumbi za sherehe ziwe na sound proof, ili unapofurahi usibugudhi wengine kwa nao wanahijaji na wanayo haki ya kupata utulivu.
Karibuni wana taifa!
Mkuu Remote , hebu funguka zaidi na sisi tupate tujifunze kutoka kwenu. Mlifanya nini (eg mlitumia sheria gani) mpaka mkafanikiwa?Wakati nakaa tabata kimanga kwa kelele hizo tulifankiwa kumuhamisha mchungaji peter nyaga kutoka kenya aliyekuja kuanzisha kanisa lake na njia tulizotumia ni za kisheria
Wakati nakaa tabata kimanga kwa kelele hizo tulifankiwa kumuhamisha mchungaji peter nyaga kutoka kenya aliyekuja kuanzisha kanisa lake na njia tulizotumia ni za kisheria
SMU kila manispaa inasheria zake nendeni manispaa husika mtapata maelezo.
Hizi maispaa zetu zinazosubiri mpaka wanachi walalamike ni kero tupu!
Lakini Mkuu naona kwa sababu tatizo hili ni la kitaifa, naona kuna umuhimu wa serikali kuu kuja na mwongozo, kuna taarifa kuwa Rwanda walishapiga marufuku makelele usiku!! ibada zinafanyika ndani ya majumba ya ibada bila kuasthiri utendaji wa watu walio nje!
Kenge nyiee kila mtu anauhuru kama unakaa kimya nyumbani kwako tulia na uboya wako, Wanao kesha baa waache wanywe nchi yetu inaendeshwa na pato la pombe, Waislamu waacheni ndo wanamwabudu Mungu HATA Wakristo muwaacheni wakeshe usiku haijari wanakaaje kanisani. Wekama hukeshi niliboya tuu hunalolote.
ni kweli mkuu
nadhani suala la kuruhusu wapi pajengwe bar au grocery au ukubi wa disco au kanisa na msikikiti bado liko chini ya serikali za mitaa na sio serikali kuu
sina hakika kama kuna Pullution Act kwani sound ni pollution pia
suala hili kama watoa lesseni limeachiwa manispaa au halmashauri
wananchi sasa kuwasilisha kero huko ili zifanyiwe kazi
tatizo rushwa kwani wanasheria wa manispaa wanashikiswa rushwa hizo na kukaa kimpya
Kenge nyiee kila mtu anauhuru kama unakaa kimya nyumbani kwako tulia na uboya wako, Wanao kesha baa waache wanywe nchi yetu inaendeshwa na pato la pombe, Waislamu waacheni ndo wanamwabudu Mungu HATA Wakristo muwaacheni wakeshe usiku haijari wanakaaje kanisani. Wekama hukeshi niliboya tuu hunalolote.