Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 478
Weka na asilimia zako upesi?Naunga mkono hoja.
Hili ni swali jipya kabisa, na unatumia vibaya taratibu za miongozo!Naomba mwongozo wa Kiti!!! na widows je wanavaaje???
Amekiuka taratibu kwa kuwataja watu ambao hawakutajwa kwenye maelezo ya mtoa hojaHili ni swali jipya kabisa, na unatumia vibaya taratibu za miongozo!
Kaa chini... zima kipaza sauti...
Hili suala liko mahakamani haliruhusiwi kujadiliwa!! Kaa chini!!!Naomba mwongozo wa Kiti!!! na widows je wanavaaje???
Hamna kitu siku hizi woote matiti nje!
Naomba kuunga mkono hoja, kwa asilimia 73.6